Haya na Reli mnaletewa pia, bado Magufuli mbaya tu?

Kazi ambazo tulizoea kuona na kusikia zimefanywa na wakoloni sasa tunazifanya wenyewe.

Nenda kaangalie uone hizo kazi kama bado hazifanywi na hao hao wakoloni. Huko site waafrika ni vibarua tu. Wataalamu wote ni wazungu, manamba wamebadilishiwa jina wanaitw vibarua/waajiriwa.
 
Rehabilitation ya hii reli eti inaisha December 18 , acha kuvuta muda huu utapaliwa subili kukuche, any way tuulize cc Wa kanda hii tukupe takwimu halisi.
Utakuwa umekosea hiyo handover date for rehabilitation, review ur thread
 
Hili siyo jukwaa la matusi
Reli geresha kivipi?

Kwanini unaandika reli ya umeme yenye uwezo wa kukimbia speed 160km/hr geresha?

Kwanini unaandika kama vile unapumuliwa kisogoni?

Akili yako imekutuma kuandika huu upupu?

IQ yako ni ya kuku
 
Kazi ambazo tulizoea kuona na kusikia zimefanywa na wakoloni sasa tunazifanya wenyewe.
Zipi hizo mnafanya wenyewe?
Tazara ilijengwa na mchina,SGR inajengwa na Mturiki,barabara, mwendokasi na madaraja unawajua wanaojenga kwa mikopo yao,acha kujitoa ufahamu.
 
Halafu acha utoto we dogo, kama waliondoka baada ya muda wao kufika Nyerere alikuwa anafuata nini huko ulaya? Kama wakoloni walikuwa wanaondoka kwa muda wao Nyerere ni kipi kilimfanya kuwapeleka watanzania wetu kupigania ukombozi wa nchi za kusini mwa Africa? Unajaribu kumng'arisha mtu mwenye nyota ya giza kwa rejea za kipuuzi?

Unachanganya mambo Tanzania siyo nchi za Kusini mwa Afrika, unaelewa maana ya kupigania uhuru kwanza? Nchi karibia zote za Kiafrika zilipewa uhuru kwa maana muda wa akoloni ulikuwa umekwisha, ilipitishwa na UN, na USA baada ya WW2 akasema no more colonies !
 
Raisi Magufuli ndo kwanza miaka 3 tu madarakani, hivyo maendeleo hayawezi kufikia kila mahali kwa wakati mmoja, Mbeya itafikiwa tu panapo majaliwa!
Lumumba bana, reli hiyo from Dar to Arusha and Dar to Mombasa (junction iko pale Kahe) mkoloni aliwaachia inafanya safi, Nyerere na Mwinyi wakaendelea kuitunza ikawa inatoa huduma za mizigo na abiria vizuri sana. Baadae walipoingia walanguzi ikulu reli ikatelekezwa na kauwawa makusudi ili Malori yao yapige hela, Unafikiri sisi hatujui? Yaani mnatengeneza tatizo makusudi halafu mnajifanya mmekuja na solution.
 
Waliouwa hiyo Reli ni wote waliofwatia baada ya Mkoloni, sasa Raisi Magufuli anaifufua, yaliyopita sindwele
 
Waliouwa hiyo Reli ni wote waliofwatia baada ya Mkoloni, sasa Raisi Magufuli anaifufua, yaliyopita sindwele
We pumbaf kweli reli ya mwaka1700 uko unasema anafufua halafu ya kiwango ikajengwa kwenda Rwanda mbn hakufufua iyo ya mwanza via Dom akajenga mpya?
Halafu mtindo wa kuziba matundu mliotoboa mwnyw n kutaka upewe sifa hatupend
 
Kwa hiyo ulitaka SGR ianzie KLM? Duh?
 
Write your reply...Hata wakoloni walijenga Reli akini tuliwafukuza tu...Hatutaki mtu dikteta
 
Write your reply...Hata wakoloni walijenga Reli akini tuliwafukuza tu...Hatutaki mtu dikteta

Tangia lini Mwafrika akajua anataka nini? AK walilia apartheid leo hii wanasema ni bora apartheid, isitoshe Waafrika wanataka kwenda kuishi AK lkn hakuna Muzungu wa apartheid anayeiataka kweda kuishi Machame au sijui Yaunde, hivyo Mwafrika anachotaka usimkilize hata siku moja kwani hajui hata anataka nini
 
Reli geresha kivipi?

Kwanini unaandika reli ya umeme yenye uwezo wa kukimbia speed 160km/hr geresha?

Kwanini unaandika kama vile unapumuliwa kisogoni?

Akili yako imekutuma kuandika huu upupu?

IQ yako ni ya kuku
PESA HAKUNA NDO MANA MNAHAHA KUMINYA WATU WATOE PESA UKWELI MCHUNGU
 
Back
Top Bottom