Haya Matunda Mh!

hahahaaaaaaa.. we ushaanza kuntamani na dalili zote naziona.. mshana jr unaona umesababisha watu wanajadili tezi jike langu

kwani vibaya mimi kukutamani ??
Mimi nilichoshangaa eti tikiti maji lina wowowo halafu wewe na miss chagga ni flat screen
hapo ndio neno watu ni sawa ila hawana usawa linapotumika
 
Last edited by a moderator:
kwani vibaya mimi kukutamani ??
Mimi nilichoshangaa eti tikiti maji lina wowowo halafu wewe na miss chagga ni flat screen
hapo ndio neno watu ni sawa ila hawana usawa linapotumika

hahaaaaaa.. najivunia kuwa na shape ya kihindi. ila nimecheka
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom