matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,853
- 19,073
1: Thubutu mambo makubwa kuliko uwezo wako. Tofauti yako na wasiomuamini Mungu wewe unafaida ya zaida ta kupewa uwezo ulio nje yako (Nguvu za roho mtakatifu).
Hivyo ni dhambi kuwa na fikra mgando, finyu na zembe. Fikiria makubwa, thubutu makubwa.
2: Anza kidogo kwa mtazamo mkubwa. Hata kama ndio unaanza kidogo. Usiruhusu udogo wa jambo lako ukaweka mipaka ya fikra zako.
Fanya hicho kidogo kwa ubora wa juu huku ukiwa na imani hata kupitia hilo dogo Mungu anaweza kulikuza na kulifanya kubwa kwa utukufu wake.
Ni kweli tunakwenda mbinguni, ila tusiende kinyonge na kizembe.
Ni hayo tu.
Sabato njema