Haya magari ya hivi karibuni yenye namba A yanamilikiwa na akina nani?

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
3,770
11,858
Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mapya ya kuanzia kuanzia miaka ya 2020s yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu.

Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni wanasema eti ni mali ya Usalama wa Taifa.

Hivi wahalifu si wanaweza kutumia mwanya huo kusafirisha silaha, madawa ya kulevya, magaidi n.k?
 
Kwa wenyeji jijini Dar es Salaam bila shaka mtakuwa mmeshakutana na haya ma Land Cruiser mapya mpya ya kuanzia 2022 yenye namba 'A', tena number plate zenyewe zinaegeshwa tu.

Haya magari ni mali ya nani? Polisi wanayaogopa hayasimamishwi wala kukaguliwa. Vijana wa vijiweni wanasema eti ni mali ya Usalama wa Taifa.

Hivi wahalifu si wanaweza kutumia mwanya huo kusafirisha silaha, madawa ya kulevya, magaidi n.k?
Vijana mnapenda kuhoji sana. Kwa kifupi tu, hizo ni gari za Idarani (political desk) pale TISS.

UNAJUA, shida ya hii idara yetu inafanya mambo kizamani sana hadi inaleta taharuki. Juzi nikamuuliza mwanangu yuko huko, akanijibu eti sababu kubwa hakuna, kwamba eti wameamua kutumia number plate za yale magari ya zamani ya raia ambayo pengine kwa sasa hayatumiki!

Hii idara ina viongozi wa hovyo sana.
 
Kama lengo ni kutumia namba za kawaida wangeweza kutumia namba za mpya halali zinazoendana na magari. Yaani unakuta gari ya 2023 na ABZ!!

Imagine mtu amebeba magaidi kwenye Land Cruiser mpya yenye namba feki za zamani au zile chasis namba nyeusi na vimulimuli pale mbele, anakwenda spidi 120km/h.

Polisi wana assume ni gari ya usalama hawaulizi chochote inapita tu.

Ndio maana wale wahuni wa kusafirisha wahamiaji haramu wanatumia mbinu hiyohiyo, na inawezekana wanafanikiwa sana.
 
Vijana mnapenda kuhoji sana. Kwa kifupi tu, hizo ni gari za Idarani (political desk) pale TISS.

UNAJUA, shida ya hii idara yetu inafanya mambo kizamani sana hadi inaleta taharuki. Juzi nikamuuliza mwanangu yuko huko, akanijibu eti sababu kubwa hakuna, kwamba eti wameamua kutumia number plate za yale magari ya zamani ya raia ambayo pengine kwa sasa hayatumiki!

Hii idara ina viongozi wa hovyo sana.
Sio lazma idara Kuna ofisi kibao nazijua zilikua zinatumia hizi namba mpk awamu ya Magu ndo ofisi nyingi zikaambiwa ziweke either SU, STL au DFP.
 
Hayo magari ya serikali hasa TISS Wana plate number zaidi ya 2 kwenye gari moja. Utakuta Leo inasomeka T.... Kesho DFPA, Keshokutwa STL/STL.
Saguda de 47 mtu wangu wa nguvu.

2019-01-26 09.47.32.png
2019-01-26 09.37.22.png
2019-01-26 09.38.04.png
 
Sio lazma idara Kuna ofisi kibao nazijua zilikua zinatumia hizi namba mpk awamu ya Magu ndo ofisi nyingi zikaambiwa ziweke either SU, STL au DFP.
Kwani hawa jamaa hawana 'front companies' na zile IDs za kazi, kwamba magari yao yasajiliwe kihalali kama mali ya hizo kampuni zao 'binafsi' au kwa kutumia IDs za kazi za watu wao?
 
Vijana mnapenda kuhoji sana. Kwa kifupi tu, hizo ni gari za Idarani (political desk) pale TISS.

UNAJUA, shida ya hii idara yetu inafanya mambo kizamani sana hadi inaleta taharuki. Juzi nikamuuliza mwanangu yuko huko, akanijibu eti sababu kubwa hakuna, kwamba eti wameamua kutumia number plate za yale magari ya zamani ya raia ambayo pengine kwa sasa hayatumiki!

Hii idara ina viongozi wa hovyo sana.
hivi usalama wa Taifa akiwa rafiki yako anaweza akakupa na stori za kazini kwake?
Ile dhana ya usalama wa Taifa ni siri ina ukweli kiasi gani mkuu?
 
Back
Top Bottom