Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,582
- 6,344
Alikuwepo arusha kwenye shuguli ya kuwaaga waliopata ajali na gari la shuleHizi picha zilipigwa lini na wapi?
CCM acheni kucheza na akili za watu! Kama Kinana kesharudi toka India alikotumwa kutibiwa mnaona taabu gani ya kuitisha PRESS CONFERENCE kwene ukumbi wenu wa Habari Maelezo ili kukata mxixi wa Fitina?
Hixi picha haziwezi kujibu hoja za Watz!