Kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake ambao wanakwenda kweny nyumba za ibada(kanisani & msikitini) kuomba maombezi ya kupata mume wa kuwaoa, hivi ni kwel mitaa wanamoishi hakuna wanaume au wanaume wa mtaa wanaoishi wanajua tabia zao. Au wanataka kutupa aibu nchi za jirani watuone wanaume wa TZ n hatuna hisia.
Nisaidie wakuu nipate muongozo mzur kabla sijafanya maamuzi ya kuoa huyu niliyekutana naye katika mazingira ya maombezi!!
Nisaidie wakuu nipate muongozo mzur kabla sijafanya maamuzi ya kuoa huyu niliyekutana naye katika mazingira ya maombezi!!