Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,614
- 13,859
Ukweli usemwe Rais SSH hana baya saana ukilinganisha na yule, mkatili wa kihistoria nchini Tanzania.
Hakuna asiyekumbuka mikwala ya Magufuli kwa wakurugenzi kuhusu uchaguzi na kuwatisha kumtangaza Mpinzani kama mshindi, ni wapumbavu tu ndio wataamini Professor J, Zitto, Mnyika, Sugu, Heche, Mdee, Bulaya, Mbowe, Mnyika, Lema, Boniface, na miamba wengine wa vyama vya upinzani kushindwa uchaguzi wa 2020. Hawa wote waliporwa ushindi wao kwa dhuluma za mwendakuzimu.
Laana ya dhuluma ndiomana bunge lina watu vilaza, hawajui chochote.
Magufuli aliharibu uchaguzi wa 2020 na laana ya dhuluma ikamtafuna mapema sana. Imebaki story tu ya mwendakuzimu
kivyovyote wasiokubali huu ukweli waende chato wakamuulize yule Dikteta Uchwara.
Wafuasi ndezi wa mwendakuzimu tukutane kwenye comments.
Bora niwe Mpambe wa SSH kuliko kumsifia Dikteta Uchwara yule.
Wadiz