Hawa NMB kufanya fujo kwenye biashara za watu wamebarikiwa na nani?

pye Chang shen

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
11,320
6,011
Watu wa mazingira wako wapi? Kwa kuwa tu wanatafuta wateja ndio wapige kelele kwenye mitaa? Kama hapa tulipo ni fujo ya matangazo na nyimbo wakati jirani tu hapa pana hospitali na wagonjwa kibao
Hawa jamaa ustaarabu ni ziro kabisa na bila shaka hata huko ofisini ni hivyo hivyo fujo tu

Picha na video zinakuja
 
Back
Top Bottom