Kuna makundi makubwa ndani ya CCM yanayoendelea kujiimarisha ili kuweka ngome kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2020 kama Magufuli atakomea awamu Moja tu ya vipindi vitano au 2025 baada ya Magufuli kumaliza awamu yake kama lakini akishinda uchaguzi mkuu 2020.
.
Hawa watu watatu hawana furaha kabisa katika awamu hii ya tano kama walivotegemea kuwa baada tu ya uchaguzi. Wakati hawa watu watatu wakijiandaa vizuri na ngome zao,huenda kukatokea mvurugano na fukuza fukuza ndani ya chama hicho. Fukuza fukuza hii itakuwa faida kuu kwa Chadema kushika Dola mwaka 2020. Ni wakati sasa chadema kujipanga na kujiweka tayari kuchukua nchi maana tayari CCM imejimaliza na inaendelea kujimaliza yenyewe. Kamanda mbowe panga safu ya uongozi wako vizuri ili kujiandaa kukabidhiwa nchi 2020. Wananchi 86% wanaunga mkono chadema,hawataki kabisa kusikia kuhusu mambo ya JPM.
Nape Nauye,January Makamba na Mwigulu Nchemba alimaarifu kama madelu ndiyo catalyst ya kuvunjika kwa CCM 2020?.
Rais2020.
Usirudie kosa 2020.
Rais wa wanyonge
ulia dawa iwaingieHuyo Makamba si ndiyo alijifanya kuiba matokeo,sasa ndiyo aone dhambia yake.

Hahahhaaa sio kwa Tanzania hii waziri mkuu mstaafu apewe urais.... madhaifu yote ya serikali ya awamu hii at some point lawama atabebeshwa waziri mkuu sio Rais kwa hyo mpaka anamaliza miaka 10 unakuta ashakuwa na makando kando na makundi ndani ya chama mwisho wa siku anakatwa asbuhi asbuhi tu.Rais ajaye 2025 ni Kassim Majaliwa Kassim.Kuna factors nimezing'amua ambazo zinaonyesha jamaa atapewa kijiti.
Only and only time will tell!!!
Hapana makonda keshawagawa wanaccm hivyo kupenyeza itakuwa ngumi unless JPM aje na majina mfukoni kma kikweteNadhani makonda ndo mrithi wake....KM UNABISHA TUBET
Never under estimate the power of fools when they are many. Chukua huo ushauriMbowe anahangaika kuwanasa wauza sura instagram eti kwakuwa wanapata like nyingi anafikir ndio atakavyoshawishi watu kuipigia kura cdm...
Kichaa pekee ndiye ataweza kuwa na fikra Kama hyo