Sasa hivi ukishakua na mtoto wa kike ni kama nusu hasara kibaya zaidi hata wale tunaowategemea wawe smart kichwani mfan wasomi wanavyuo n.k ndo wanafanya blunders .
Kimsingi mabinti wengi wamekosa ambition za vitu vya maana wao wanatafuta shortcut kupitia hasa kupitia ngono
Vibinti vidogo vitambea na wazee kisa wanahela ,wengi wanatoa mimba ,wachache wanakua single mothers humo TikTok telegram wamejaa wanafamya ufirauni yani tafrani tupu
Naomba Africa na Tanzania isiwe na hasara ya watoto wa kike kama ilivyo bara la america.
Kwa bara la America statistics zinaonesha wanandoa 92,% hawana preference ya watoto wa kike instead karibu wote Wana prefer male .
Nini kifanyike
Wazazi tuwe wakali kwenye malezi kwa hawa mabint zetu
Ni mbaya kufika uzeeni wakati unataka kurelax lakini ukiona maisha mienendo ya watoto unaumia .