Ushauri wako mzurisasa ameoa yote hayo thats means anajua analolitaka..
okey alazimishe ndoa halafu aje alalamike kuwa mwanume si mwaminifu atake kuondoka na mtoto haloo mwambie huyo akiolewa naye ajiandae tu kisaikolojia
nimependa USHUHUDA wakoWadada yanatukuta mambo,hata mm nilishawahi kukuta kondom kwenye wallet yake hazikuwa zimetumika lakini sasa cjui alikopita alipiga kavu (atajaza mwenyewe) nikajifanya kununa na kuondoka ila moyoni nilikuwa na amani koz niliamini ananijali na yy anajali afya yake....
Na kuna kipindi alikuwa anahama mkoa wakati nampakia Nguo kwenye begi lake nikwamwekea bahasha yenye kondom na kumwandikia msj....."unilinde cku zote"
Hahahha aloooo hizi moment huwa zinanchekesha saana sometimes.
Wako ukiwa nae,akitoka nje c wako tena...
Haaaa [HASHTAG]#chiwaso[/HASHTAG] kuienda maeneo ya vijijin kule kanda ya ziwa hasa nyakati za masika utashangaa kuku ananyonyolewa manyoya bila hata kumtia kweny sufuria ya maj ya moto alaf utasikia wanaita nyasatu njoo umrudishe huyu kuku bandaniwaswahili husema, ukiona manyoya ujue kaliwa.
Weka na ww wako basiii...nimependa USHUHUDA wako
Mdada anasimulia leo kazini, kila akipekua nguo za mpenzi wake anakutana na pakiti pungufu ya Condom.
Mara ya kwanza kuzikuta alimuuliza, Jamaa akasema sio zake za rafiki yake, kuna kipindi alisafiri akamwachia nyumba rafiki yake amwangalizie kwahiyo akapata sababu.
Jana wakati anafua nguo akawa anapekua kwenye mifuko ya suruali, akakutana na pakiti tupu ya Condom, anasema alichofanya akakichukua akakiweka kitandani.
Hajamuuliza wala Mwanaume hajaongelea kitu, kafanya kama hajaona iyo pakiti iliyowekwa kitandani.
Yupo kwenye ushindani na nafsi yake hajui aamue lipi.
Mimi binafsi nimemwambia ashukuru Jamaa anakumbuka kuvaa soksi anakozurura, wanaume wote hawajatulia asimwache atulie.
Ila ningekuwa mimi ndo kwanza ningemnunulia boksi zima namuwekea asipate shida.
NITATOAWeka na ww wako basiii...