waswahili husema, ukiona manyoya ujue kaliwa.Mdada anasimulia leo kazini, kila akipekua nguo za mpenzi wake anakutana na pakiti pungufu ya Condom.
Mara ya kwanza kuzikuta alimuuliza, Jamaa akasema sio zake za rafiki yake, kuna kipindi alisafiri akamwachia nyumba rafiki yake amwangalizie kwaiyo akapata sababu.
Jana wakati anafua nguo akawa anapekua kwenye mifuko ya suruali, akakutana na pakiti tupu ya Condom, anasema alichofanya akakichukua akakiweka kitandani.
Hajamuuliza wala Mwanaume hajaongelea kitu, kafanya kama hajaona iyo pakiti iliyowekwa kitandani.
Yupo kwenye ushindani na Nafsi yake hajui aamue lipi.
Mimi binafsi nimemwambia ashukuru Jamaa anakumbuka kuvaa soksi anakozurura, wanaume wote hawajatulia asimwache atulie.
Ila ningekuwa mimi ndokwanza ningemnunulia boksi zima namuwekea asipate shida.
Umenena Mkuu Huyo Ni Mpenzi Tu Wala Siyo Mume WakeUyo ni mpenzi sio mume hajamfunga kwa iyo asitegemee mapya,
Na wewe ukichepuka huwa unamlinda mwenzako?Wadada yanatukuta mambo,hata mm nilishawahi kukuta kondom kwenye wallet yake hazikuwa zimetumika lakini sasa cjui alikopita alipiga kavu (atajaza mwenyewe) nikajifanya kununa na kuondoka ila moyoni nilikuwa na amani koz niliamini ananijali na yy anajali afya yake....
Na kuna kipindi alikuwa anahama mkoa wakati nampakia Nguo kwenye begi lake nikwamwekea bahasha yenye kondom na kumwandikia msj....."unilinde cku zote"
Hahahha aloooo hizi moment huwa zinanchekesha saana sometimes.
Wako ukiwa nae,akitoka nje c wako tena...
Dah anabahati huyo kwa kupendwa hivyoWadada yanatukuta mambo,hata mm nilishawahi kukuta kondom kwenye wallet yake hazikuwa zimetumika lakini sasa cjui alikopita alipiga kavu (atajaza mwenyewe) nikajifanya kununa na kuondoka ila moyoni nilikuwa na amani koz niliamini ananijali na yy anajali afya yake....
Na kuna kipindi alikuwa anahama mkoa wakati nampakia Nguo kwenye begi lake nikwamwekea bahasha yenye kondom na kumwandikia msj....."unilinde cku zote"
Hahahha aloooo hizi moment huwa zinanchekesha saana sometimes.
Wako ukiwa nae,akitoka nje c wako tena...