BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,125
Labda Lugumi alitumika kama boya tu, lakini kuna mtu/watu mzito/wazito zaidi ndiyo wahusika wakuu wa huu ufisadi. Tunaambiwa aliyelipwa hizo bilioni 37 ni Lugumi sasa iweje kampuni ambayo ilifanya hii kazi ya kufunga zile mashine katika vituo 12 isimjue Lugumi? Kampuni hii iliyofunga mashine zile ililipwa shilingi 162,849,565 sawa na shilingi 13,570,797 kufunga mashine katika kila kituo. Sasa malipo ya ziada ya shilingi 36.8 bilioni kwanini yalifanywa? Je, malipo yale yalifuata taratibu za Serikali za kuidhinisha malipo? kama hayakufuata taratibu za Serikali katika kuidhinisha malipo ni nani alihusika na kupindisha taratibu za Serikali katika kuidhinisha malipo!?
“Tulifanyakazi yetu kwa mujibu wa mkataba na baada ya kumaliza tulilipwa Dola 74, 420 (sawa na shilingi 162,849,565), ila ninapenda kusema kuwa wakati wote hatukujua kama kuna mtu anaitwa Lugumi.
“Tulifanyakazi yetu kwa mujibu wa mkataba na baada ya kumaliza tulilipwa Dola 74, 420 (sawa na shilingi 162,849,565), ila ninapenda kusema kuwa wakati wote hatukujua kama kuna mtu anaitwa Lugumi.
Kampuni hii ilisajiliwa kufanya kazi gani na inafanya kazi gani?
Alafu sijui ina uzoefu wa kazi iliyopewa?