econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,188
- 29,648
Dalili za Chama Cha ANC kuunda serikali pamoja na DA zimethibitishwa rasmi. Ni pale ambapo kwenye uchaguzi wa Spika wa Bunge la SA DA haikuweka mgombea na hivyo Spika akatoka kwenye Chama Cha ANC akiitwa Thoko Didizo.
Pia Chama Cha DA ambacho ndio Chama kikuu Cha upinzani SA kimeshindwa kiti Cha Naibu Spika kupitia mgombea wao Annelie Lotriet.
PIA SOMA
- Breaking News: - Afrika Kusini: Cyril Ramaphosa achaguliwa kuwa Rais kwa awamu ya pili