MWANA ileje
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 744
- 571
- Thread starter
- #41
Mbona umepanic sana au wewe ni miongoni mwao mimi nimetoa rai yangu tu kwamba dating single mothers is ni sawa nakucheza game ambayo mwenzio kaisevu full stop,sasa povu la nini......kama ulishafanya mistake ni wewe so ustake na wengine wahadaike kutoujua ukweli.Aisee imenibidi nijizuie sana kutoa povu langu la fire extinguisher.
Kila mwanamke/mwanaume ni potential single mother/father respectively. Kuna sababu nyingi sana zinachangia mtu kuwa single mother/father.
Jiheshimu mkuu! Kuwa na anonymous ID hapa JF isichochee kuanzisha threads za kipuuzi kama hizi. Mwanaume wa kweli anakufa na yaliyomo moyoni mwake.
ONYO: Kubalehe chini ya umri ni hatari kwa akili yako!