Pika mwenyeweWandugu nawasalimu,
Huyu fiancee wangu ambae ninaishi nae ni mjamzito, ana mimba ya miezi sita kuelekea saba, hataki kupika chakula anasema hajisikii vizuri hivyo hawezi kupika, house alimfukuza yeye mwenyewe mwanzoni mwa ujauzito kwa madai kuwa ataniiba mimi, kwa kuwa alikua mzuri sana.
Kwa muda mrefu tumekua tukila take away food from outlets, mostly chips kufikia hatua nimeshachoka, juzi nimemuomba aanze kupika akageuka mbogo na kudai nipike mwenyewe kama vipi, wadau huyu ni mchumba tu najibiwa hivyo akiwa mke je?
Nimeanza kupata wazo la kurudi kwa Stella niwe nakula huko kabisa ndipo nirudi home, sijui mlikua mnasemaje?
Wandugu nawasalimu,

IndeedFiancee ana mimba au ni mzinzi mwenzio tu?.... kwamza nani alieykuambia kazi ya mkeo au mwanamke ni kupika kwa nini wewe usipike mimba miezi 7 bado unataka akupikie na usiku umdandie mtoto wa watu.... be kind to women ... kwa dini yangu mimi mwanamke kukupikia ni sadaka tu au ihsani na shurti
Hawa ni wazinzi tuHahahahaaaa Mchumba ana mimba? tena ya miezi sita? Sijawahi kusikia hio kitu hata siku moja.... atakua hawara huyo! Kama unaishi na binti wa mtu na hujamlipia Mahari you are also part of Boko Haram
Adha yote hiyo unaipata ndo unaenda kwa mkemia mkuu anakwambia sio damu yako.... Lol!Wandugu nawasalimu,
Huyu fiancee wangu ambae ninaishi nae ni mjamzito, ana mimba ya miezi sita kuelekea saba, hataki kupika chakula anasema hajisikii vizuri hivyo hawezi kupika, house alimfukuza yeye mwenyewe mwanzoni mwa ujauzito kwa madai kuwa ataniiba mimi, kwa kuwa alikua mzuri sana.
Kwa muda mrefu tumekua tukila take away food from outlets, mostly chips kufikia hatua nimeshachoka, juzi nimemuomba aanze kupika akageuka mbogo na kudai nipike mwenyewe kama vipi, wadau huyu ni mchumba tu najibiwa hivyo akiwa mke je?
Nimeanza kupata wazo la kurudi kwa Stella niwe nakula huko kabisa ndipo nirudi home, sijui mlikua mnasemaje?
Hakuna mabadiliko yoyote, unajua ujauzito siyo ugonjwa, hizi ni excuses tu za hawa viumbe mara nyingi na kujistukia kwingi.Mnatakiwa kupata elimu ya ndoa kabla ya kuoana
Huwa kuna mabadiliko yanatokea wakat wa ujauzito na baada ya kujifungua. Hivo bhac unatakiwa kujua.
Wandugu nawasalimu,
Huyu fiancee wangu ambae ninaishi nae ni mjamzito, ana mimba ya miezi sita kuelekea saba, hataki kupika chakula anasema hajisikii vizuri hivyo hawezi kupika, house alimfukuza yeye mwenyewe mwanzoni mwa ujauzito kwa madai kuwa ataniiba mimi, kwa kuwa alikua mzuri sana.
Kwa muda mrefu tumekua tukila take away food from outlets, mostly chips kufikia hatua nimeshachoka, juzi nimemuomba aanze kupika akageuka mbogo na kudai nipike mwenyewe kama vipi, wadau huyu ni mchumba tu najibiwa hivyo akiwa mke je?
Nimeanza kupata wazo la kurudi kwa Stella niwe nakula huko kabisa ndipo nirudi home, sijui mlikua mnasemaje?
Kumradhi wadau.
Najaribu mitambo kidogo
PoleWandugu nawasalimu,
Huyu fiancee wangu ambae ninaishi nae ni mjamzito, ana mimba ya miezi sita kuelekea saba, hataki kupika chakula anasema hajisikii vizuri hivyo hawezi kupika, house alimfukuza yeye mwenyewe mwanzoni mwa ujauzito kwa madai kuwa ataniiba mimi, kwa kuwa alikua mzuri sana.
Kwa muda mrefu tumekua tukila take away food from outlets, mostly chips kufikia hatua nimeshachoka, juzi nimemuomba aanze kupika akageuka mbogo na kudai nipike mwenyewe kama vipi, wadau huyu ni mchumba tu najibiwa hivyo akiwa mke je?
Nimeanza kupata wazo la kurudi kwa Stella niwe nakula huko kabisa ndipo nirudi home, sijui mlikua mnasemaje?
Worst comes to worst hii namba ndio ilioipa chati Album yao hii ya kuitwa Expansion team, umenikumbusha itabidi baadae nikaisikilize Album yao yote hii Expansion team muda kidogo sijaisikiliza.Mdau umenikumbusha pia "Worst come to worst my peoples come first"
Guru,Iriscience,Evidence afu kama Babu mixing flan. Jamaa inabidi apike tu hamna namna.
ushauri muruaKama kuna ndugu wa karibu wa upande wako ambae yupo yupo tumuombe uishi nae amsaidie kazi ndogo ndogo