maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,289
- 15,546
Jana nilikua nimekaa barazani nasoma novel akapita Dada mmoja mrembo nikaamua kumuita akadai anaharaka kunamgeni anamuwahi, basi nikamuomba namba ya simu akanipa kwa shingo upande baada ya kuona ntamchelewesha.
Kumbe alikua kaenda kumpokea rafiki yake yaani kumuona tu nikachanganyikiwa jinsi alivomrembo.. ikabidi nimuite yule nlomwita mara ya kwanza nikamrudishia namba yake nikachkua ya mwenzake... eti jamani hata we si ungerudisha?