Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 311
- 824
MAMABO YA KUZINGATIA KABLA HUJASAIDIA WENGINE.
1.Usitoe ukabaki huna chochote
2.Usigope kuachwa kwa sababu huna bali sema HUNA kama kweli huna.
3.Usitoe kwa lengo na wao wakupe kesho.
4.Usitake kujua wanakusemaje baada ya kuwasaidia.
HATA UTOE VIPI SIKU MOJA TU UKIKOSA WATAKUONA HUNA MCHANGO WOWOTE KWAO.
Ni wachache sana wataona thamani yako kipindi huna bali wengi watakuona mwenye thamani pale ambapo UNAWAPA WANACHOHITAJI KWA WAKATI WATAKAO WAO.
UKIKUTANA NA HUYU ACHANA NAYE KABISA
Ukikutana na mtu ambaye ukisema huna anasahau siku zote ulizompa basi usiombe ushauri kokote bali achana naye siku hiyo hiyo kwa sababu huyo kakugeuza SHIMO LA MAHITAJI.
#fikia ndoto zako
Instagram @fikia ndoto zako.