boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 6,127
- 4,607
mwingozo ndo nini nyie ndo mnataka sanamu la damondhuwezi linganisha hayo mawili. kila moja lina sensitivity yake katika taifa. mwingozo wa UDOM ulikuwa hauna maana pale kwa sababu hatua zilishaanza kuchukuliwa na serikali. ingekuwa ni kupiteza fedha za walipa kodi bure. je nikuulize hatua iliyochukuliwa na serikali kwa sasa ina mantiki au haina. jibu hili nikuone uelewa wako kama umesoma vya kutosha. na ukijibu vizuri utatambua sasa je mwongozo ulikuwa na maana ama la.ifike mahala tutenganishe siasa na masuala nyeti ya utaifa.tusiende kibubu bubu tu wajameni.