Hasira hasara

de Gunner

JF-Expert Member
Nov 2, 2021
1,393
2,899
Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani kama tunaendana kila kitu apendacho nami pia.

Hana mapepe kama mademu wa siku hizi, she's humble and smart ila usi cross borders. Wakuu I was like huyu lazima nipambane mpk tone la mwisho.

Nilishazoea kumanifest tendo haraka ila hapa nimegonga mwamba yaani kumleta kwenye line hata kwa pesa huwezi. Ila kadri tulivyo kuwa tunazoeana nilianza kuona kabisa she's having affection.

Sasa nimeyakoroga! This is because of my need kumchakata mapema kushindikana. Jamani mtanisamehe nilimtukana, na kumwambia tusitafutane tena, kisa some simple things.

Hii strategy huwa naitumia sana ili kuwavuta waje hataka. Sasa kaenda mazima siku ya 2 now now sms or call... Kadri siku zinavyokwenda ndo nazidi kugundua she was a wife material.

Now lazima atakuwa kasha loose trust na mimi, how do I clean up this mess? I was too pushy.
 
Wakuu nipo dilemma mwenzenu, kuna msichana week jana tu hapa nimekumbana nae mtaani she seemed so hot 🔥, na sikuweza jizuia kuomba namba, tulianza kama urafiki hivi, days went by na bond flani kama tunaendana kila kitu apendacho nami pia.



Hana mapepe kama mademu wa siku hizi, she's humble and smart ila usi cross borders. Wakuu I was like huyu lazima nipambane mpk tone la mwisho. Nilishazoea kumanifest tendo haraka ila hapa nimegonga mwamba yaani kumleta kwenye line hata kwa pesa huwezi. Ila kadri tulivyo kuwa tunazoeana nilianza kuona kabisa she's having affection.



Sasa nimeyakoroga! This is because of my need kumchakata mapema kushindikana. Jamani mtanisamehe nilimtukana, na kumwambia tusitafutane tena, kisa some simple things. Hii strategy huwa naitumia sana ili kuwavuta waje hataka.... Sasa kaenda mazima siku ya 2 now now sms or call... Kadri siku zinavyokwenda ndo nazidi kugundua she was a wife material... Now lazima atakuwa kasha loose trust na mimi, how do I clean up this mess? I was too pushy
You don't deserve her......naomba Asikurudie tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom