Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
- Thread starter
- #61
Angekuwa raisi angejua namna ya kufanya rasimali tumepewa na Mungu zinanufaisha watu wachache
Kwahiyo angekutumia kanuni ipi kukokotoa mpaka unga uwe Ts 250...?? au anadhani ni rahisi namna hiyo kama anavyosema.
Nchi haiendeshwi kwa hisia na mihemuko bali kwa mikakati na mipango madhubuti ya kiserikali.
Kwani kwa mawazo haya atasema na sukari angefanya kg 1 iwe Tsh 100 tu na mkate ingekuwa tsh 20 ili tu watu wanywe chai na siagi.