Hasara za kuwa baba wa kambo

hujajibu hoja
 
Kama ana chini ya miaka 22...

Kama ana mtoto mmoja...

Kama hajawahi kuolewa au kuishi na mwanaume...

Kama huyo mtoto alikataliwa na baba yake, na atabeba ubin wako mwanaume..

Kama baba mtoto amekufa...

Mwisho kama ana u-african-wife-material...

Basi huyu single maza anahitaji kupewa nafasi ya 2..


Kwa dunia ya sasa mambo yalivyo, mabinti kubebeshwa mimba na kukimbiwa imekuwa new norm...


Kama umemuassess na ukaona ana tabia njema, basi oa...
................................................................................


Ila unakuta single maza amezalishwa na miaka 25 na kuendelea! Huyo alikuwa anajua anachokifanya. Mwanaume kimbia.
 
HAPANA HAKUNA POINT HATA MOJA
1.Kuiba familia ya mtu no kosa kubwa sana yaani kumpora mwanaume mwenzako mke wake na mtoto wake no kosa
2. Kumpenda mtu aliyewahi kupendana na mtu mwingine sio kosa
So Kama mwanamke ameachika au mumewe amekufa au alizalishwa kabla ya ndoa Kuna shida gani kumpenda?
Kwanini wahenga walisema Penda Boga na ua lake?
 
Sawa simp
 
Nyuzi kama hizi zinakupa taswira kwamba wanaume siku hz ni tia maji tia maji tu. Kama huwezi kuishi na single maza hata ukimpata asiye na mtoto bado hitoweza kuishi nae.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…