hujajibu hojaMnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo
Hebu yafikirie haya
1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?
2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?
3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?
Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.