Hasara za kuwa baba wa kambo

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
8,822
23,944
1. Daima mama mtoto atakuona fala.
Usidanganyike na ngozi ya kondoo aliyojivika kwa nje, ukweli ni kwamba kwenye akili yake anakutafsiri tofauti. Anakuona simp mmoja mjinga jinga. Hata hivyo ukweli wewe ni mjinga na mama mtoto analijua ilo ndio maana hata yeye hawezi kuruhusu/kufurahia kaka au mtoto wake wa kiume aoe single mother.

2. Kushuka kwa heshima yako mbele ya wanaume wanaojitambua.
Mwanaume aliekamilika kimwili na kiakili anatakiwa kuanzisha familia yake yeye mwenyewe, ni ujinga, upumbavu, ushenzi na utahira kwa kijana kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine. Binafsi nikiona kijana amekubali kuwa baba wa kambo huwa namwona kama mgonjwa wa akili.

3. Kuongezeka kwa gharama za maisha kwa kubeba jukumu lisilokuhusu.
Mwanamke tu anakuja kwenye maisha yako kama liability, sasa embu fikiria anakuja na mtoto/watoto wake. Hii ni sawa na kulipa mkopo ambao hakuuchukua wewe.

4. Baba mtoto bado yupo around.
Usije ukajidanganya kwamba baba mtoto hayupo tena kwenye maisha ya mtoto na mzazi mwenzake. Ukweli ni kwamba kama sio wanaonana na kuwasiliana basi huwa anapita pita kwenye profile ya mzazi mwenzake uko facebook na instagram kuifuatilia familia yake. Mama mtoto pia anafuatilia maisha ya mzazi mwenzie. Hapa kama waliachana kwa mihemko au kuna feelings zao hazikua solved basi kupasha kipolo ni suala la muda na sehemu sahihi tu. Wazazi wanatengana tu, ila hawaachani.

5. Mama mtoto anakuja kwako na emotional baggage.
Achana na hawa delusional and damaged women waliou-brand usingle mother kama kiashiria cha upambanaji na kupevuka kiakili wakati kiuhalisia ni kiashiria cha umalaya na ufanyaji maamuzi mbovu. Kutoka moyoni kabisa hakuna mwanamke anaependa kuwa single mother, amejikuta katika hali iyo kwa sababu ya maamuzi yake mabovu, ni hali ambayo inamfanya awe na kinyongo, maumivu na majuto moyoni. No matter how hard you will try to gain her trust she will always look at you as a suspect. Ukiamua kubeba hicho kifurushi utakua victim wa tatizo ambalo haukusababisha wewe.

6. Baba kifedha sio kimamlaka na kisheria.
Ushirika wako katika malezi ya mtoto ni kutoa hela za malezi tu nje ya hapo hauna tija nyingine yoyote. Ukichukua hatua za kinidhamu kwa mtoto pale anapokosea utasababisha vita kubwa sana na mama ake. Vile vile wakati wowote baba wa mtoto akijitokeza yeye ndie atakua na haki zote za kisheria juu ya uyo mtoto.

7. Utakua second option ndani ya nyumba yako.
Mama mtoto hatokujali wala kukupa attention na kipaumbele kwa kiasi ambacho anafanya hivyo kwa mtoto wake.

8. Unatumika kama retirement plan.
Mama mtoto hakupendi , anataka tu sehemu ya kuponea yeye na mtoto/watoto wake. After she spent her prime years living reckless now she is on hunting of bailout from her messy. Trust me, she is not looking for love, she is looking for a retirement plan.

Recomendation.
It's not worth it being a step father. Bloodline is very important. Don't be that simp who sacrifices his empire for someone who didn't bothered to build hers. Always remember, there is no happy ending for a simp.
 
Achana na hawa delusional and damaged women waliou-brand usingle mother kama kiashiria cha upambanaji na kupevuka kiakili wakati kiuhalisia ni kiashiria cha umalaya na ufanyaji maamuzi mbovu. Kutoka moyoni kabisa hakuna mwanamke anaependa kuwa single mother, amejikuta katika hali iyo kwa sababu ya maamuzi yake mabovu, ni hali ambayo inamfanya awe na kinyongo, maumivu na majuto moyoni. No matter how hard you will try to gain her truth she will always look at you as a suspect. Ukiamua kubeba hicho kifurushi utakua victim wa tatizo ambalo haukusababisha wewe.

6. Baba kifedha sio kimamlaka na kisheria.
Ushirika wako katika malezi ya mtoto ni kutoa hela za malezi tu nje ya hapo hauna tija nyingine yoyote. Ukichukua hatua za kinidhamu kwa mtoto pale anapokosea utasababisha vita kubwa sana na mama ake. Vile vile wakati wowote baba wa mtoto akijitokeza yeye ndie atakua na haki zote za kisheria juu ya uyo mtoto.

7. Utakua second option ndani ya nyumba yako.
Mama mtoto hatokujali wala kukupa attention na kipaumbele kwa kiasi ambacho anafanya hivyo kwa mtoto wake.

8. Unatumika kama retirement plan.
Mama mtoto hakupendi , anataka tu sehemu ya kuponea yeye na mtoto/watoto wake. After she spent her prime years living reckless now she is on hunting of bailout from her messy. Trust me, she is not looking for love, she is looking for a retirement plan.

Recomendation.
It's not worth it being a step father. Bloodline is very important. Don't be that simp who sacrifices his empire for someone who didn't bothered to build hers. Always remember, there is no happy ending for a simp.
Huyu Single Mama alivyoniganda na Hizi Nondo zako.
Zimenichoma kumoyo sana.
 
Mnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo

Hebu yafikirie haya

1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?

2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?

3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?

Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
 
Izo ni exceptional case. There is exception in everything, but exceptionality don't count when we make rules.
 
Mnatumia nguvu nyingi kuongelea haya mambo

Hebu yafikirie haya

1.Mwanamke kufiwa na mumewe akiwa katika umri mdogo kwahiyo asiolewe tena?

2.Ndoa zenye migogoro,kwahiyo asiachike avumilie mateso asiolewe kwingine?

3.kuzalishwa katika umri mdogo kisha kutelekezwa kwahiyo huyu asiolewe tena kisa ana m(wa)toto?

Wapo wives material kibao ambao ni single mother ,wanaolewa na NDOA zinaendelea vizuri tu,tunao mitaani na tunaona.
1. Bila kujali kama single mother ni ndugu yangu au laah, hapaswi kuolewa kama mke wa kwanza. Toka enzi na enzi single mother walikuwa wanaolewa kama mke wa pili na zaidi ila siyo kama mke wa kwanza. Kaa na wazee watakuambia sababu za wao kufanya hivyo

2. Mwanaume ama mwanamke kuoa/kuolewa kwenye ndoa yenye migogoro hilo ni kosa lake ama ndugu zake kwenye maamuzi na machaguo yao. Walikuwa na nafasi ya kuoa/ kuolewa na watu wema ila wakachagua kuoa migogoro, hivyo waacha wavune walichokupanda. Ukijidai kiwasaidia ujue umekuwa sehemu ya mgogoro. Na ukiamua kuwa sehemu ya mgogoro uache kulialia

3. Kila siku tunashuhudia matatizo wanayokumbana nayo wasichana waliozalishwa kwenye umri mdogo, lakini bado wasichana hawalichukui hilo
kama funzo na onyo nao wanaingia kule kule. Hivyo hilo ni chaguo lao, kabla hawajachagua hilo waliyajua madhara yake, hivyo waacha wavune walichokipanda.

Wapo single mother wanaoolewa na kutulia ila ni kwa asilimia chache mno. Kwann ujiingize kwenye jambo unalofahamu kuwa ni risk?

N.B
Hakuna mwanamke yeyote aliyewahi kupitia usingle mother anayetamani kijana wake ama ndugu yake aoe single mother. Narudia hayupo
 
1. Daima mama mtoto atakuona fala.
Usidanganyike na ngozi ya kondoo aliyojivika kwa nje, ukweli ni kwamba kwenye akili yake anakutafsiri tofauti. Anakuona simp mmoja mjinga jinga. Hata hivyo ukweli wewe ni mjinga na mama mtoto analijua ilo ndio maana hata yeye hawezi kuruhusu/kufurahia kaka au mtoto wake wa kiume aoe single mother.

2. Kushuka kwa heshima yako mbele ya wanaume wanaojitambua.
Mwanaume aliekamilika kimwili na kiakili anatakiwa kuanzisha familia yake yeye mwenyewe, ni ujinga, upumbavu, ushenzi na utahira kwa kijana kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine. Binafsi nikiona kijana amekubali kuwa baba wa kambo huwa namwona kama mgonjwa wa akili.

3. Kuongezeka kwa gharama za maisha kwa kubeba jukumu lisilokuhusu.
Mwanamke tu anakuja kwenye maisha yako kama liability, sasa embu fikiria anakuja na mtoto/watoto wake. Hii ni sawa na kulipa mkopo ambao hakuuchukua wewe.

4. Baba mtoto bado yupo around.
Usije ukajidanganya kwamba baba mtoto hayupo tena kwenye maisha ya mtoto na mzazi mwenzake. Ukweli ni kwamba kama sio wanaonana na kuwasiliana basi huwa anapita pita kwenye profile ya mzazi mwenzake uko facebook na instagram kuifuatilia familia yake. Mama mtoto pia anafuatilia maisha ya mzazi mwenzie. Hapa kama waliachana kwa mihemko au kuna feelings zao hazikua solved basi kupasha kipolo ni suala la muda na sehemu sahihi tu. Wazazi wanatengana tu, ila hawaachani.

5. Mama mtoto anakuja kwako na emotional baggage.
Achana na hawa delusional and damaged women waliou-brand usingle mother kama kiashiria cha upambanaji na kupevuka kiakili wakati kiuhalisia ni kiashiria cha umalaya na ufanyaji maamuzi mbovu. Kutoka moyoni kabisa hakuna mwanamke anaependa kuwa single mother, amejikuta katika hali iyo kwa sababu ya maamuzi yake mabovu, ni hali ambayo inamfanya awe na kinyongo, maumivu na majuto moyoni. No matter how hard you will try to gain her trust she will always look at you as a suspect. Ukiamua kubeba hicho kifurushi utakua victim wa tatizo ambalo haukusababisha wewe.

6. Baba kifedha sio kimamlaka na kisheria.
Ushirika wako katika malezi ya mtoto ni kutoa hela za malezi tu nje ya hapo hauna tija nyingine yoyote. Ukichukua hatua za kinidhamu kwa mtoto pale anapokosea utasababisha vita kubwa sana na mama ake. Vile vile wakati wowote baba wa mtoto akijitokeza yeye ndie atakua na haki zote za kisheria juu ya uyo mtoto.

7. Utakua second option ndani ya nyumba yako.
Mama mtoto hatokujali wala kukupa attention na kipaumbele kwa kiasi ambacho anafanya hivyo kwa mtoto wake.

8. Unatumika kama retirement plan.
Mama mtoto hakupendi , anataka tu sehemu ya kuponea yeye na mtoto/watoto wake. After she spent her prime years living reckless now she is on hunting of bailout from her messy. Trust me, she is not looking for love, she is looking for a retirement plan.

Recomendation.
It's not worth it being a step father. Bloodline is very important. Don't be that simp who sacrifices his empire for someone who didn't bothered to build hers. Always remember, there is no happy ending for a simp.
Mkuu imekuwaje leo, mbona nondo sana?

Lakini nadhani unauelewa msemo wa wahenga usemao: 'sikio la kufa, halisikii dawa'.

Vijana wengi ni wahanga wa andiko lako sababu ya kupenda mserereko.

Hawaelewi ni kanuni kuwa kitu chenye thamani ama kitamu tamu hakifikiwi kirahisi rahisi hadi ukisotee.

Mwanamke 'maharage ya mbeya' nd'o wao wanataka sasa!
 
Hapo namba 3 feminism pia inasababisha iyo circle kuendelea. Feminist wamewaaminisha mabinti wadogo kwamba wanalingana na mwanaume kwenye kila kitu. Kumbe huku field mambo ni tofauti na nature haitambui izo mbaga za 50/50 na feminism. Mwanamke akijiweka kwenye wrong place at wrong time nature itambamiza tu.
 
1. Daima mama mtoto atakuona fala.
Usidanganyike na ngozi ya kondoo aliyojivika kwa nje, ukweli ni kwamba kwenye akili yake anakutafsiri tofauti. Anakuona simp mmoja mjinga jinga. Hata hivyo ukweli wewe ni mjinga na mama mtoto analijua ilo ndio maana hata yeye hawezi kuruhusu/kufurahia kaka au mtoto wake wa kiume aoe single mother.

2. Kushuka kwa heshima yako mbele ya wanaume wanaojitambua.
Mwanaume aliekamilika kimwili na kiakili anatakiwa kuanzisha familia yake yeye mwenyewe, ni ujinga, upumbavu, ushenzi na utahira kwa kijana kuunga tela kwenye familia ya mwanaume mwingine. Binafsi nikiona kijana amekubali kuwa baba wa kambo huwa namwona kama mgonjwa wa akili.

3. Kuongezeka kwa gharama za maisha kwa kubeba jukumu lisilokuhusu.
Mwanamke tu anakuja kwenye maisha yako kama liability, sasa embu fikiria anakuja na mtoto/watoto wake. Hii ni sawa na kulipa mkopo ambao hakuuchukua wewe.

4. Baba mtoto bado yupo around.
Usije ukajidanganya kwamba baba mtoto hayupo tena kwenye maisha ya mtoto na mzazi mwenzake. Ukweli ni kwamba kama sio wanaonana na kuwasiliana basi huwa anapita pita kwenye profile ya mzazi mwenzake uko facebook na instagram kuifuatilia familia yake. Mama mtoto pia anafuatilia maisha ya mzazi mwenzie. Hapa kama waliachana kwa mihemko au kuna feelings zao hazikua solved basi kupasha kipolo ni suala la muda na sehemu sahihi tu. Wazazi wanatengana tu, ila hawaachani.

5. Mama mtoto anakuja kwako na emotional baggage.
Achana na hawa delusional and damaged women waliou-brand usingle mother kama kiashiria cha upambanaji na kupevuka kiakili wakati kiuhalisia ni kiashiria cha umalaya na ufanyaji maamuzi mbovu. Kutoka moyoni kabisa hakuna mwanamke anaependa kuwa single mother, amejikuta katika hali iyo kwa sababu ya maamuzi yake mabovu, ni hali ambayo inamfanya awe na kinyongo, maumivu na majuto moyoni. No matter how hard you will try to gain her trust she will always look at you as a suspect. Ukiamua kubeba hicho kifurushi utakua victim wa tatizo ambalo haukusababisha wewe.

6. Baba kifedha sio kimamlaka na kisheria.
Ushirika wako katika malezi ya mtoto ni kutoa hela za malezi tu nje ya hapo hauna tija nyingine yoyote. Ukichukua hatua za kinidhamu kwa mtoto pale anapokosea utasababisha vita kubwa sana na mama ake. Vile vile wakati wowote baba wa mtoto akijitokeza yeye ndie atakua na haki zote za kisheria juu ya uyo mtoto.

7. Utakua second option ndani ya nyumba yako.
Mama mtoto hatokujali wala kukupa attention na kipaumbele kwa kiasi ambacho anafanya hivyo kwa mtoto wake.

8. Unatumika kama retirement plan.
Mama mtoto hakupendi , anataka tu sehemu ya kuponea yeye na mtoto/watoto wake. After she spent her prime years living reckless now she is on hunting of bailout from her messy. Trust me, she is not looking for love, she is looking for a retirement plan.

Recomendation.
It's not worth it being a step father. Bloodline is very important. Don't be that simp who sacrifices his empire for someone who didn't bothered to build hers. Always remember, there is no happy ending for a simp.
Umenikumbusha yule bilionea wa kidutch Tob Cohen ambaye aliuawa na mkewe mkikuyu aliyemkuta ni single mother akamudopt na mwanaye mwisho wote wakaja mbeba ufala.
Sema pesa ni kila kitu. Yani toka 2019 mpaka leo japo ushahidi wote uko wazi wazi Bi WAirimu Cohen hajafungwa japo kesi yake ilifutwa, nashangaa mwezi uliopita alikamatwa tena akafunguliwa mashtaka upya.
 
1. Bila kujali kama single mother ni ndugu yangu au laah, hapaswi kuolewa kama mke wa kwanza. Toka enzi na enzi single mother walikuwa wanaolewa kama mke wa pili na zaidi ila siyo kama mke wa kwanza. Kaa na wazee watakuambia sababu za wao kufanya hivyo

2. Mwanaume ama mwanamke kuoa/kuolewa kwenye ndoa yenye migogoro hilo ni kosa lake ama ndugu zake kwenye maamuzi na machaguo yao. Walikuwa na nafasi ya kuoa/ kuolewa na watu wema ila wakachagua kuoa migogoro, hivyo waacha wavune walichokupanda. Ukijidai kiwasaidia ujue umekuwa sehemu ya mgogoro. Na ukiamua kuwa sehemu ya mgogoro uache kulialia

3. Kila siku tunashuhudia matatizo wanayokumbana nayo wasichana waliozalishwa kwenye umri mdogo, lakini bado wasichana hawalichukui hilo
kama funzo na onyo nao wanaingia kule kule. Hivyo hilo ni chaguo lao, kabla hawajachagua hilo waliyajua madhara yake, hivyo waacha wavune walichokipanda.

Wapo single mother wanaoolewa na kutulia ila ni kwa asilimia chache mno. Kwann ujiingize kwenye jambo unalofahamu kuwa ni risk?

N.B
Hakuna mwanamke yeyote aliyewahi kupitia usingle mother anayetamani kijana wake ama ndugu yake aoe single mother. Narudia hayupo
Mkuu, wenye akili watakuelewa, umejitahidi kueleza kwa fact bila kuwa biased. Kuna kitu umesema hapo kuhusu hawa mabint zetu wadogo kwann hawajifunzi na wanaona yanayotokea?
Kwakwel inasikitisha sana
 
Mkuu inekuwaje leo, mbona nondo sana?

Lakini nadhani unauelewa msemo wa wahenga usemao: 'sikio la kufa, halisikii dawa'.

Vijana wengi ni wahanga wa andiko lako sababu ya kupenda mserereko.

Hawaelewi ni kanuni kuwa kitu chenye thamani ama kitamu tamu hakifikiwi kirahisi rahisi hadi ukisotee.

Mwanamke 'maharage ya mbeya' nd'o wao wanataka sasa!
Pamoja na hao wazee wa kitonga pia kuna baadhi ya wanaume ambao akili zao zimefubazwa na ideology ya feminism ambayo inapigiwa debe dunia nzima.

Hawa ni simp ambao wanaamini mwanaume kushusha standard yako na kukubaliana na disrespect na reckless past ya mwanamke ndio ustaarabu wa maisha ya kisasa

Kinachosikitisha, kwa upande wa wanawake linapokuja suala la kuangalia masilahi na usalama wao huwa hawanaga huruma na hawa simp.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom