MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Huyo mtumishi mbona ametokea kikadakada.
Hongera sana wanandoa. Nimependa sana
Hongera sana wanandoa. Nimependa sana
Safi kabisa,kitu simple bila mbwembwe
Sio harusi hiyo ni ndoa,harusi ni Yale masherehe mnayo fanyaga ukumbini na mbwembwe zingine kama kutembea barabarani na magari ila kanisani hakuna harusi kanisani kuna ndoa tu.hapo wanafunga ndoa ila huwezi kufunga harusi.harusi haifungwi ila harusi inasheherekewa.
Huyo pastor atakuwa ni Yanga na Maharusi ni simba..
Nimewaza tu lakini..
Kweli mkuu mengine mbwembwe tu ili mradi Mungu ameibarikiSio harusi hiyo ni ndoa,harusi ni Yale masherehe mnayo fanyaga ukumbini na mbwembwe zingine kama kutembea barabarani na magari ila kanisani hakuna harusi kanisani kuna ndoa tu.hapo wanafunga ndoa ila huwezi kufunga harusi.harusi haifungwi ila harusi inasheherekewa.
Halafu kavaa rangi za kile chama chenye nuksi kilichowafanya Wadanganyika kuwa masikini zaidi ya miaka 50; atawasababishia nuksi hao wanandoaView attachment 464360 huyu wa kushoto ameharibu ndoa lazima itakuwa na mabaka mabaka mbeleni
Nakwambia hawatasalimika kabisaHalafu kavaa rangi za kile chama chenye nuksi kilichowafanya Wadanganyika kuwa masikini zaidi ya miaka 50; atawasababishia nuksi hao wanandoa
Hizo rangi hazifai kabisaHahaaaa hiyo Yanga ama ?