Harusi ya Jux imenifumbua macho, Noti za Nigeria zina thamani Kibunda chetu cha shilingi milioni 5 kule kwao ni shilingi laki 8

round kick

JF-Expert Member
Feb 3, 2025
667
2,295
NB: Maada hii ipo kwa kutoa elimu ya kifedha, ndoa imetumika kama tukio maarufu la kutoa elimu, Jux na mke wake wawe na ndoa njema,

Kibunda chenye noti 500 huku kwetu ukijaza misimbazi kina thamani ya shilingi milioni 5, kule Nigeria ukijaza Noti zao unapata jumla ya Naira laki 5 (₦ 500,000) sawa na shilingi za kitanzania 835,500 (Tshs Laki 8 )

Kibunda chenye noti 100 huku kwetu ukijaza misimbazi kina thamani ya shilingi milioni 1, kule Nigeria ukijaza Noti zao unapata jumla ya Naira laki moja (₦ 100,000) sawa na shilingi za kitanzania 167,100

Kwa muda mrefu sana nilikuwa naona sherehe za kinaijeria watu wakimwaga minoti, Hii mikwara nilikuwa naiona usipokuwa na pesa huwezi kuoa Nigeria kumbe hali ni tofauti,

Pesa yao inaitwa Naira (₦), noti kubwa zaidi ni ya Naira elfu moja ( ₦ 1,000)

1744927873953.png

₦ 1000 Naira = shilingi za kitanzania 1,671

1744928055651.png
 
Kwa muda mrefu sana nilikuwa naona sherehe za kinaijeria watu wakimwaga minoti, vibunda vilinitisha kwa kudhani noti moja inaweza kuwa mpaka shilingi elf 50 kumbe hali ni tofauti kabisa

baada ya kugoogle nimeshangazwa kuona noti kubwa zaidi ya Nigeria ni shilingi elfu moja ambayo uki convert kuwa shilingi za kitanzania ni elfu moja na mia saba (1,700),

Ukiona kibunda kule Nigeria kimetuna kama kile cha kwetu cha milioni 5 kilichojaa misimbazi 500, usipagawe, kikiletwa hapa kwetu ni sawa na shilingi laki 8 tu.
EBU ANGALIA FOREX
CHUKUA HYO MIL 5 IBADILI KWENDA HELA ZA KINAIJERIA HALAFU UJE TENA KUKOMENT..

HALAFU CHUKUA MIL 5 NAIRA ZA NAIJERIA KUJA TSH HALAFU URUDI UANDIKE UPYA..
HAPO UTAJUA NANI HELA YAKE INA THAMANI.
 
Kwa muda mrefu sana nilikuwa naona sherehe za kinaijeria watu wakimwaga minoti, vibunda vilinitisha kwa kudhani noti moja inaweza kuwa mpaka shilingi elf 50 kumbe hali ni tofauti kabisa

baada ya kugoogle nimeshangazwa kuona noti kubwa zaidi ya Nigeria ni shilingi elfu moja ambayo uki convert kuwa shilingi za kitanzania ni elfu moja na mia saba (1,700),

Ukiona kibunda kule Nigeria kimetuna kama kile cha kwetu cha milioni 5 kilichojaa misimbazi 500, usipagawe, kikiletwa hapa kwetu ni sawa na shilingi laki 8 tu.

Kibunda chenye noti 100 huku kwetu kina thamani ya milioni 1 lakini kule kwao thamani yake ni shilingi zetu laki 1 na elfu 60
Kwahiyo unahisi thamani ya hela ndiyo hiyo??vipi kama nchi haitumii noti??Siku nyingine kabla ya kuandika jambo lolote sehemu yoyote hakikisha kwanza unaufahamu wa kutosha juu ya jambo husika tofauti na hapo utakuwa unajivua nguo
 
Kwa muda mrefu sana nilikuwa naona sherehe za kinaijeria watu wakimwaga minoti, vibunda vilinitisha kwa kudhani noti moja inaweza kuwa mpaka shilingi elf 50 kumbe hali ni tofauti kabisa

baada ya kugoogle nimeshangazwa kuona noti kubwa zaidi ya Nigeria haina thamani, Pesa yao inaitwa Naira, noti kubwa ni Naira elfu moja ambayo uki convert kuwa shilingi za kitanzania ni shilingi elfu moja na mia saba (Tshs 1,700),

View attachment 3307767

Kibunda chenye noti 100 huku kwetu ukijaza misimbazi kina thamani ya shilingi milioni 1, kule Nigeria ukijaza Naira ukaleta bongo utaambulia shilingi laki moja na elfu 60.

Kibunda kilichoshiba chenye noti 500 huku kwetu ukijaza misimbazi kina thamani ya shilingi milioni 5, kule Nigeria ukijaza Naira ukaleta bongo utaambulia shilingi zetu laki 8 na elfu arobaini

Kwenye video unayoiona hapa chini kibunda kimoja kwa makadirio kina noti 100 sawa na shilingi laki 1 na elfu sitini, ukipiga hesabu ya vibunda vyote vilivyotolewa vinaweza kuwa shilingi milioni 2 ya kitanzania.

View attachment 3307764
Ushakimbia umande daah
 
View attachment 3307764

Kwa muda mrefu sana nilikuwa naona sherehe za kinaijeria watu wakimwaga minoti, Hii mikwara nilikuwa naiona usipokuwa na pesa huwezi kuoa Nigeria kumbe hali ni tofauti,

baada ya kugoogle nimeshangazwa kuona noti kubwa zaidi ya Nigeria haina thamani, Pesa yao inaitwa Naira, noti kubwa ni Naira elfu moja ambayo uki convert kuwa shilingi za kitanzania ni shilingi elfu moja na mia saba (Tshs 1,700),

View attachment 3307767

Kibunda chenye noti 100 huku kwetu ukijaza misimbazi kina thamani ya shilingi milioni 1, kule Nigeria ukijaza Naira hicho kibunda kikiletwa bongo utaambulia shilingi laki moja na elfu 60.

Kibunda kilichoshiba chenye noti 500 huku kwetu ukijaza misimbazi kina thamani ya shilingi milioni 5, kule Nigeria ukijaza Naira hicho kibunda kikiletwa bongo utaambulia shilingi zetu laki 8 na elfu arobaini
Kazi ndio kwanza inaanza
 
Back
Top Bottom