round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 668
- 2,280
NB: Maada hii ipo kwa kutoa elimu ya kifedha, ndoa imetumika kama tukio maarufu la kutoa elimu, Jux na mke wake wawe na ndoa njema,
Kibunda chenye noti 500 huku kwetu ukijaza misimbazi kina thamani ya shilingi milioni 5, kule Nigeria ukijaza Noti zao unapata jumla ya Naira laki 5 (₦ 500,000) sawa na shilingi za kitanzania 835,500 (Tshs Laki 8 )
Kibunda chenye noti 100 huku kwetu ukijaza misimbazi kina thamani ya shilingi milioni 1, kule Nigeria ukijaza Noti zao unapata jumla ya Naira laki moja (₦ 100,000) sawa na shilingi za kitanzania 167,100
Kwa muda mrefu sana nilikuwa naona sherehe za kinaijeria watu wakimwaga minoti, Hii mikwara nilikuwa naiona usipokuwa na pesa huwezi kuoa Nigeria kumbe hali ni tofauti,
Pesa yao inaitwa Naira (₦), noti kubwa zaidi ni ya Naira elfu moja ( ₦ 1,000)
₦ 1000 Naira = shilingi za kitanzania 1,671