julius milla
JF-Expert Member
- Sep 8, 2017
- 633
- 328
System ya brake ni failure.ndio maana zina ajali sana.Subaru ni fake.ndio maana hata kwenye WRC world rally championship wameanza kiziondoa.mbadala wake ameingia Ford focus.Acheni kulinganisha Subaru na vitu visivyoweza kushindana nayo, Subaru ni Symmetrical All Wheel Drive(AWD) inayotoa power independent kwa matairi itategemea lipi linahitaji nguvu ndo linapewa, ukiwa rough road ndo utapenda zaidi maana Forester imekua designed for rough road zaidi na kadri inavyozidi kukimbia inakua more stable inatitia flani hivi, ukitaka flexibility na comfortability barabarani basi Subaru ndo nyumbani, hizi gari ni za miendo huwezi linganisha na gari za starehe na advantage ua Subaru ni kua hakuna vifaa fake km gari nyingi za Toyota maana zinaingilia sana