Harmorapa ni Freemason?Au akaunti sio yake

e4447b910756a95793a1f008246952c4.jpg

Unashangaa kwa huyu dogo alikuwa dini gani? au alimjua mungu yupi toka mwanzo!

Unaweza kuta huyo lucifer ndio mungu wake wa kwanza kukutana naye.

Biblia inasema "Mlee mtoto katika njia ipasayo naye hataiacha hata kufa kwake"

Si ajabu anazaliwa toka utotoni ni tunguli tu huko nyumbanii na kuvalshwa hirizi na takatka nyingine unadhani atashangaa ya pete?
 
Yes Pastor Achachanda.

The most privilege God has given to human being is Freedom to Choose.

Angels have not given this advantages.

A human being is Free to Serve God who created him or Satan.

Choose today whom you want to serve.

I and my familly will serve God The All Mighty.
Got it
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom