mhhh mm napita
Mmh kama kaachwa na mcongo.... Ntaanza kuamini sasa kuwa ana kale katatizo watu wanamsemagaMkongo man kaishia wapi? Maana insta kutwa Mkongo alikuwa anasifiwa, na si alivalishwa Pete, mmh mapenzi ya showing off nayo,huwa ya ki China tu.
sasa kama yupo kiwango hiki kwanini huwa wanamwita King ????
Lupela iko wapi? Ngoma ilibuma since day oneIyo ni akili fupi hivi kiba amekosa ushawishi kiasi kwamba akitaka atoe video kusiwe na kitu kingine kinatred? Acheni kumshusha kiba kiasi hicho
huu wako sasa ni wivu na c kingine!Hii habari mimi ntakuwa wa mwisho kuikubali japo mwanamke hawekewi dhamana ila si wolper kwa huyu mmakonde. ...hawa kina wolper ni vicheche ila ili akupe nyama inabidi uwe mkali. ..vigezo vya ukali huyu mmakonde hana. ..baadhi ya vigezo vya ukali aidha una mpunga mrefu au familia bora, kipande mauzo au hamnahamna basi body la kinyamwezi hata ukigonga viwambwiko vitulie mwilini. .au jina kubwa town sio umaarufu wa kupepea mpaka utambulishwe ndo raia waseme aha kumbe wewe ndo flani. ..sasa hivi vyote harmonize hana
katatizo gani ako tena eve?au ana katatizo kakutema kaharufu kabaya uko kunako?Mmh kama kaachwa na mcongo.... Ntaanza kuamini sasa kuwa ana kale katatizo watu wanamsemaga
Eeeh hako hako, make anaachwa tu kila sikukatatizo gani ako tena eve?au ana katatizo kakutema kaharufu kabaya uko kunako?
Hebu dadavua katatizo kapi....Mmh kama kaachwa na mcongo.... Ntaanza kuamini sasa kuwa ana kale katatizo watu wanamsemaga
Kameshaelezewa na talentboy post namba 51Hebu dadavua katatizo kapi....