Happy birthday to me

habarini za siku wakuu.....leo ni siku yangu ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa ....namshukuru mungu kwakunifikisha katika umri huu
happy birthday kama memba mwenzako napenda kukutakia maisha marefu yenye baraka tele.pia ntakumia zawadi ya pempas
 
Mmh me nawaitaga tu vizuri male friends zangu "my dear" etc. Ngoja siku nije nizabuliwe na gf zao
Kumbe ndo maana mnaogopa...

Alafu siku moja nliona msichana anamwita mwezake sweetlove baada ya maongezi yao mazuri, yule mwengine alivyogeuka akamn'gon'ga(ile kumzome)
 
Kumbe ndo maana mnaogopa...

Alafu siku moja nliona msichana anamwita mwezake sweetlove baada ya maongezi yao mazuri, yule mwengine alivyogeuka akamn'gon'ga(ile kumzome)
Majina mazuri tunaitana, ingawa na unafiki tunao sana tu. Hahaa wewe uzungu wa kuitana swthrt kwa baby wa mwenzio weee
 
Back
Top Bottom