Happy birthday Noela William Malecela

Status
Not open for further replies.
Hongera Le Big Show Bilionea wa Swahili FM Radio kwa kukuza You are humbled You know ha ha ha.
 
Wabongo shida tupu, hiyo picha imepostiwa 15 Dec 2015 nashangaa imeletwa leo zaidi Ya mwezi umepita
 
Amalinze Nifah Ruttashobolwa naskia baba swalehe anataka kutuma hii kitu
12555915_470588186458360_586453332_n.jpg

kwa ajili ya sweet 16 ya Noela.

Sijui Noela anajua kama baba yake huwa anaenda after skul bash?
 
Nitakuwa mtu wa mwisho kushabikia upumbavu wa wenza wawili ambao ni watu wazima halafu wanaleta upumbavu wao mitandaoni ili ushadadiwe na watoto wadogo wengine sawa na watoto wao wa kuwazaa. Kwanini mtoto aingizwe kwenye mambo kama haya?! Mzazi mwenye busara hata kama atakuwa na ugomvi na namna gani na mwenza mwenzie katu hatathubutu kumweka mtoto katikati ya ugomvi huo! Mzazi mwenye busara will never make his/her daughter decide who's better btn dad and mom!

Busara ya Le Mutuz nitaipa credit kwa kuipotezea hii thread.

Ata mimi nilikuwa naamini huyu case ni mke wa le mutuz kama Le mutuz alivyotuzuga ila kwa picha ya leo nimeprove huyu case sio mke wa le mutuz. Ata mama awe mjinga kiasi cha kumzidi le mutuz awezi kumuharibia binti yake mitandaoni namna hii. Ila huyu atakuwa mtu wa karibu na le mutuz tena yupo bongo.
 
le mtumbozzz limekimbia majukumu yke so acha lipewe za uso babu zima mdananda.....limekula xmass 59 bado linaakili kma wema za kupenda sifa
 
Hongera Le mutuz kwa kufikisha miaka 59....na binti pekee miaka 16... bila shaka pensheni yako itatumika vema kwani umebakiza mwaka mmoja tu ustaafu kwa lazima.
 
Kibongo bongo nampa big up Le Mutuz inaelekea kavumilia mengi sana kwa huyu mwanamke.

Asilimia mia moja huyu hakuwa wife material kabisa. Kwa mama mwenye mtoto mkubwa hivyo inashangaza kwa anayoleta humu mitandaoni hata aibu ya kike imemuisha. Kweli wanaume tunavumilia mengi.

Mungu awajaalie na atujalie sote wake zetu wasiwe wa aina hii.

P:S

Ila mtalaka wa le mtumbo ana SURA NGUMU SANA.
 
Ata mimi nilikuwa naamini huyu case ni mke wa le mutuz kama Le mutuz alivyotuzuga ila kwa picha ya leo nimeprove huyu case sio mke wa le mutuz. Ata mama awe mjinga kiasi cha kumzidi le mutuz awezi kumuharibia binti yake mitandaoni namna hii. Ila huyu atakuwa mtu wa karibu na le mutuz tena yupo bongo.
Ni kweli Judi ANAWEZA asiwe lakini bado nashawishika kuamini kwamba hata kama c ex wake bac atakuwa na affiliation na ex wake! Lakini kwa upande mwingine, busara bado haishawishi kumwanika binti mdogo mitandaoni hata kama si wako kwa sababu tu una masuala yenu na mzazi wake-- mbaya zaidi sio unamwanika kwa heri bali kwa lengo la kutaka kumkashifu baba ake...! Hivi sote sisi ingekuwa tukikorofishana tu mitaani basi tunakuja kufunguliana threads hapa na zingine zikihusisha hadi family members c ingekuwa vurugu!! Humu JF wengine tunafahamiana physically na huwa tunazinguana vile vile including kwenye relationship lakini tunakausha juu kwa juu!! Kuna wengine humu kutokana na umaarufu wao wa ki-JF JF hata ukimfungulia thread kwa kutumia hiyo hiyo fake ID inakuwa bonge la damage kwake though hata kama physically watu hawamfahamu lakini hatufanyi hivyo coz' we know it's right to attack someone for your own personal diffferences. Kama ushafuatilia threads za Case Mtanga dhidi ya Le Mutuz sio zile threads against/in favor of celebrities bali ni threads motivated by personal differences!!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom