Kwani case mtanga anamfanya nini lemutuz hahaLeo le superstar hatosubiri page 10 ndo aje, hivi mleta mada wewe ndo case mtanga?
Teh ngoja aje le baharia, sio kwa huo mtibuano wenuKwani case mtanga anamfanya nini lemutuz haha
Namsubiri kwa hamu ukiniona humu ujue nimeshamtaarishia madongo yake.Teh ngoja aje le baharia, sio kwa huo mtibuano wenu
MtHii ni nini jamani hapa JF naomba kufahamishwa ila binti anafanana na binti wa Malecella wa NIMR
Mtoto wa lemutuz huyo aka baba swaleheHii ni nini jamani hapa JF naomba kufahamishwa ila binti anafanana na binti wa Malecella wa NIMR
Nisingekuona kwenye hii thread ningebadili kabila wallahDaaah hii habari angeileta MSAGA SUMU mbavu zingekuwa zinaniuma sasa.