Happy Birthday Magige Nyerere

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
3,200
4,761
Leo April 21 ni birthday ya Magige Nyerere mtoto wa tatu Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Magige yupo Dar es Salaam sasa hivi.
Ni graduate wa UDSM ambapo alipata shahada ya Bsc. Electrical Engineering.
 
Hbd to her /him

Also amefikisha miaka mingapi ?.
Anafanya nini na alikuwa nani.?
 
Leo April 21 ni birthday ya Magige Nyerere mtoto wa tatu Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere.
Magige yupo Dar es Salaam sasa hivi.
Ni graduate wa UDSM ambapo alipata shahada ya Bsc. Electrical Engineering.
HBD Babu Magige....@ pappy hatonn vipi ugomvi wako na wanakijiji butiama umepoa ßasa?
 
Ukiamua kuleta taarifa humu basi jitahidi kujiridhisha kwa Msomaji ataelekea na kutosheka na taarifa,usiandike kama unawaandikia classmates wako.
 
Back
Top Bottom