Happy birthday Bujibuji

Happy Birthday Bujibuji
Halafu kweli utanilaumu kwa kuhamia kwa Miss Natafuta?...
Miss Natafuta kanitumia text msg ya kunisalimia asubuhi, baada ya nusu Saa akanipigia, Saa nne akanukaribisha breakfast ya nguvu, kaniandalia thread JF, jioni ataandaa candlelight dinner special.
Sky Eclat cheti chako cha ndoa ni cha Bashite maana umekuwa chini sana ya viwango.
Hamna namna unabidi tu uende Jo'burg ukapumzike na wewe
 
Money theory, Mo money more problems.
More problems=less love
Less love= more stress
more stress= more diseases
more diseases= more poverty
more poverty= death
Umechagua kifo na maisha mabaya bibie
we ndiyo hujui sasa
 
Buji unaongea sana dahhh utadhani unatafuta vyeti vya Bashite
Buji hizo ngeri, na mistari utafikiri unamtafuta wa geti kali mwee? Buji mwakwetu sijui mwanangu au mdogo wangu umempata mwenye ma.... ya kichina angalia huyo miss maana mh. lakini kipendacho roho hula nyama mbichi mwaya. Mie bibi nina babu wangu tumetulia na gahawa yetu na wajukuu wanasomoma aeiou hii ni herufi kuu sema kwa sauti kuu hii aeiouuuuuu.
 
Raha ya Pendo liwe live and exclusive.
Sio moyo unampenda Anna, macho yanampenda Amina, nywele zinampenda Bishauri, kiuno kinampenda Yolanda..
No..No... No..
A very Big No.
Mimi na moyo Wangu, na akili zangu na vyote nilivyonavyo, kwa dhati kabisa, nampenda Miss Natafuta, kwake napata amani, Faraja na security. She is more than a JF member to me.
Nakupenda.
Hepi besidei Buji Banton
 
Mimi sifagilii kabisa wanaume sijui kumpenda mtu japo nimejawa na mapenzi tele ila nashukuru sana kuna watu wanaonifundisha upendo kwa kunipenda kwao! Mmojawapo ni huyu ndugu Bujibuji .

Nakushukuru kwa upendo wako, heri ya siku yako ya kuzaliwa.
Raha ya Pendo liwe live and exclusive.
Sio moyo unampenda Anna, macho yanampenda Amina, nywele zinampenda Bishauri, kiuno kinampenda Yolanda..
No..No... No..
A very Big No.
Mimi na moyo Wangu, na akili zangu na vyote nilivyonavyo, kwa dhati kabisa, nampenda Miss Natafuta, kwake napata amani, Faraja na security. She is more than a JF member to me.
Nakupenda.

Naenda nlimani kuwafanyia maombi...

Hakika shetani lazima ashindwe...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom