Hapo Zamani za Kale...

Mohamed Said

JF-Expert Member
Nov 2, 2008
21,948
32,056
HAPO ZAMANI ZA KALE
''Hadithi, hadithi.''
Msimuliaji atanadi kama vile anauza kitu.

Wasikilizaji wataitika ''Hadithi njoo, utamu kolea.''
Msimuliaji atajibu, '' Hapo zamani za kale...''

Simulizi itaanza.
Sijui nianzeje na sijui niseme kitu gani.

Kilichonisukuma kuweka picha hizo mbili ni maneno wanayoniamdikia wasomaji wangu wengi wakieleza yale wanayosoma kutoka katika makala zangu na vitabu nilivyoandika kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika.

Ningeweza kuweka baadhi ya hayo wanayoniandikia hapa ili sote tunufaike na maneno yao lakini kwa bahati mbaya haya wanayoniandikia yana kasoro.

Kasoro hizi ndizo zinazonizuia kuweka hayo hadharani.
Sifa wanazoandika zimekuwa nyingi kupita kiasi.

Mzigo wa maneno ya kushambuliwa ni mwepesi kubeba.
Mzigo wa sifa ni mzito.

Tabu kubebeka.
In Shaa Allah itaendelea...

Ingawa bado sijajua naanzaje.

1712196952764.png

Abbas Kleist Sykes (1929 - 2021)
1712197207798.jpeg

Kitwana Selemani Kondo (1930 - 2017)​
 
Sh Mohamed,
Ninakupa pongezi kwa makala zako, kama nilivyobainisha kuwa huna uchoyo katika uandishi wako, kwani humchoshi msomaji, uandishi ni sanaa
Mwenyeezi Mungu akuzidishie elimu zaidi
Shukurani
 
Sh Mohamed,
Ninakupa pongezi kwa makala zako, kama nilivyobainisha kuwa huna uchoyo katika uandishi wako, kwani humchoshi msomaji, uandishi ni sanaa
Mwenyeezi Mungu akuzidishie elimu zaidi
Shukurani
Wandugu...
Ahsante sana ndugu yangu Wandugu.
 
Sh Mohamed,
Ninakupa pongezi kwa makala zako, kama nilivyobainisha kuwa huna uchoyo katika uandishi wako, kwani humchoshi msomaji, uandishi ni sanaa
Mwenyeezi Mungu akuzidishie elimu zaidi
Shukurani
Upuuzi mtupu kila siku Sykes,Kariakoo,Tandamti,Kitwana Kondo na ujinga mwingi.

Tanganyika ni kubwa kuliko Tandamti.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom