Mbona hata kuna mzanzibar anajiona Rais wakati hakubariki na hata NZI WA KIJANI WA CHOONI WA CHAMA CHAKEEx president huyu naona kama kawa mfalme sasa kwenye nchi hii.
Uwezi kusema umetumwa na raisi hata kenya yenyewe kasongo ajawai kumtuma kenyata.
Tokea utawala huu jamaa kawa kama mfalme mkubwa sana
Sasa kama lililopo ni andazi yeye afanyeje?Ex president huyu naona kama kawa mfalme sasa kwenye nchi hii.
Uwezi kusema umetumwa na raisi hata kenya yenyewe kasongo ajawai kumtuma kenyata.
Tokea utawala huu jamaa kawa kama mfalme mkubwa sana
Mbona mbowe alikuwa Mfalme kwa miaka 20 na hamkusema? Uyo mnayemsema Mfalme kwanini aliondoka baada ya muda wake Kuisha?Ex president huyu naona kama kawa mfalme sasa kwenye nchi hii.
Uwezi kusema umetumwa na raisi hata kenya yenyewe kasongo ajawai kumtuma kenyata.
Tokea utawala huu jamaa kawa kama mfalme mkubwa sana
Mimi naona sultani ni Mbowe aliyekaa kwenye uongozi miaka 20.Ni sultani hasa, kaonyeshs kwenye kumteua Samia kuwa mgombea pekee kinyume na taratibu zote.