Uliza Nkujibu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 806
- 640
hzo cku nane umewapendelea
'ONE MEN SHOW NI HATARI'
Ghala la Taifa lina hifadhi ya chakula kinachotosha siku 8 tu ikitokea dharura yeyote. Novemba 2016 kulikuwa na chakula cha kutosha miezi 2.
Taarifa ya Benki Kuu ya mwezi Novemba inaonyesha kuwa NFRA imebaki na Tani 90,000 tu za chakula yeyote. Novemba 2016 kulikuwa na chakula cha kutosha miezi 2.
Taarifa ya Benki Kuu ya mwezi Novemba inaonyesha kuwa NFRA imebaki na Tani 90,000 tu za chakula
"ONE MEN SHOW NI HATARI" Ndio nini sasa?'ONE MEN SHOW NI HATARI'
Ghala la Taifa lina hifadhi ya chakula kinachotosha siku 8 tu ikitokea dharura yeyote. Novemba 2016 kulikuwa na chakula cha kutosha miezi 2.
Taarifa ya Benki Kuu ya mwezi Novemba inaonyesha kuwa NFRA imebaki na Tani 90,000 tu za chakula yeyote. Novemba 2016 kulikuwa na chakula cha kutosha miezi 2.
Itakuwa Halmashauri ya wilaya ya ChatoHicho kilichokuwepo kimekwenda wapi?
Kaa kimya brother, tena usiombee. Tatizo hukuwepo kipindi cha unga wa yanga na sukari ya kuficha kwapani. Acha kabisa, dharura ya nchi nzima inatokea na inawezekanaNani kakwambia dharura itatokea nchi nzima?
Acha kejeli za kipuuziNadhani hamna tatizo hapo manake kwa serikali ya Mheshimiwa Mtukufu Daktari wa Kemia hakuna kitu kinachoitwa dharura!!
Fanya kazi acha kuchongakwa raisi wetu wa sasa hata ikitokea dharura hatagawa chakula, utasikia hakuna nchi inayowapa chakula wananchi wake. Mungu atuepushie mbali, na Mungu mfanyie huyu baba jambo gumu la kumnyoosha ili awe na ubinadamu.
Mkubwa!!!! Shida inakuja hapa....Mtu anadai data za kupinga hoja iliyotolewa WAKATI YEYE HAKUTOA DATA ZA KUTHIBITISHA NA PIA SOURCE YA TAARIFA YAKE MTOA MADA!!!!! Nilitegemea aseme kuwa amecopy na kupaste kutoka kwa ZITTO (ambaye kimsingi kwa Chama chetu huwa HAAMINIKI..NI YUDA)nlitegemea wote mnaomshambulia uyu bwana mje na data za kutosha il tuwez kujadili thread yake kwa kina. kma kuna mwenye takwm sahih za maghala yetu atoe jaman 2jue kesho yetu
Nchi ya hapa kazi tu na wanakuwa wazembe kias hicho? Ndiyo maana anakuwa mkaliNchi ya hapa kazi tu