Hans Poope amaliza uvumi wa Jonas mkude na Ajibu kuihama simba sport club

tulia wewe -5-0!
Nyie ndo wapenzi uchwara, mnaongopewa na kelele na fiksi za hawa magazetini, mnaishi kwa buku na jero za hao majizi lkn mwishowa msimu makombe hakuna !!

Mtabaki na mambo ya 5-0 na 6-0 weee mpaka kufa. Amkeni nyie, uongozi huu hamna kitu. Pesa za Okwi, na hata za Samata zimeliwa na zitaliwa, hapo hujagusia jezi, na mikataba ya hayo majengo..

Huyo manula mtampiga mawe mkipigwa bao, wa nn wakati mlimleta huyo mghana kwa mbwembwe zote ?Yaani miezi mitatu, watu wametengeneza mamilioni sasa mnavunja mkataba na kugawana ?

Mie mnyama lkn sikubalini na upuuzi huu
 
Back
Top Bottom