Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,174
Anajiita 'mwanasiasa mkongwe'
moyoni amejaa hila. njaa. chuki na wivu (dhidi ya chadema).
mtu mlafi utamjua tu. anaweza kuunda hata 'kambi ndogo ya upinzani bungeni'. ili apate ulaji. aibu
mfilisi wa fikra. wa kuogopwa kama ukoma.
njaa ya tshs. 100 000 000?
Chadema musikubali kuungana nao.
CUF watiifu mumetapeliwa.
undeni chama chenu au njooni kwetu Chadema. viongozi wenu walafi.