Hamad Rashid avuliwa uanachama ADC

Hawa ADC wanamfuta uanachama Mgombea Urais!!! Ikitokea akashinda Urais uchaguzi itabidi urudiwe kwa kuwa Rais mteule atakuwa kapoteza Sifa.
Jecha ni geneous sana. Kafu wakijitoa wasijitoe ZEC inatambua ni wagombea halali na Seif atapata 48.2% ya kura na Dr.Shein atashinda kwa Ushindi mwembamba bila shaka.
 
Kwani hakuwahi mahakamani mara hii? Jecha alikuwa analijuwa hili ndio maana akatowa muda wa kutosha wa kumchagua mgombea mpya wa Uraisi pindipo mgombea akifukuzwa uwanachama. Itabidi ADC waombe wapewe muda wa kufanya mchakato wa kutafuta mgombea
 
Huko kwenye chama chenu mtu haruhusiwi kuwa na mawazo yake na kusema/kufanya anachoamini?
 
Hii itakuwa na implication gani kisheria kama uchaguzi utarudiwa huko Zanzibar? Kwa sababu Jecha kasema karatasi za marudio ya uchaguzi ni zile zile za oct 25 ambazo zilikuwa na sura ya Hamad Rashid kama mgombea urais. Kama amefukuzwa uanachama ADC maana yake pia amepoteza sifa ya kuwa mgombea urais. Je Jecha na ZEC yake ya mafichoni wataendelea kutumia karatasi zile zile?

I think was a calculated move kwa ccm kumtumia na waliona dalili mapema na ndiyo maana wasema hakutakuwa na wagombea wapya isipokuwa wazamani ndo wataendelea. Ngoja tuendelea movie ndo kwanza inaanza. Bila shaka watalazimisha Hamad kuwa mgombea ili kuharalisha uchaguzi.
 
Lowassa, Mwapachu, Sumaye. Mzee Kingunge na wenzao ni sawa na waisrael ndani ya Misri

Lakini zitto, Hamad Rashid na wenzake ni kama wafilisti wakishirikiana na Babeli Mungu aliwapa muda sasa kikombe kimekaribia kujaa
 
Huyu kigeu geu na hakika mfa maji daima haishi kutapa tapa.

Ngoja tusikie kahamia chama gani maana kuhamia chama kipya huyu ni kugusa.

Amekuwa kama sigara kali haijulikani wapi pa kuvutia wala wapi pa kuwashia.
Hivi sigara kali bado ipo?hii sigara hapana chezea siku ya kwanza kuvuta enzi za uvulana habari yake ilikuwa kubwa!
 
Atawasaliti binadamu wenzake tu ila hataweza kumsaliti mungu .mungu anamuona na mwisho wa watu kama hawa huwa sio mzuri.
 
I think was a calculated move kwa ccm kumtumia na waliona dalili mapema na ndiyo maana wasema hakutakuwa na wagombea wapya isipokuwa wazamani ndo wataendelea. Ngoja tuendelea movie ndo kwanza inaanza. Bila shaka watalazimisha Hamad kuwa mgombea ili kuharalisha uchaguzi.
Kutobadilisha mgombea ni sahihi (assuming uchaguzi unarejewa kwa mujibu wa katiba) lakini inapotokea kifo ama kuvuliwa au kujivua uwanachama mgombea, kisheria chama inabidi kipewe haki ya kujaza ile nafasi. Hapa ni mtihani mwengine kwa Jecha na mkewe, we are led to believe huyo ndiye anayeshauriana nae kwenye kutowa uamuzi
 
Kwenye blue, sidhani Jecha kama Jecha ndo anayetoa maamuzi, naamini maamuzi yote yanatoka ccm na Jecha anatumika kuharalisha tu, nothing else.
 
Back
Top Bottom