Weka picha pliz tufaidi wote.Ila Dj sinyorita mashaa allah,ameumbika
Ni kweli hii ni fursa ya watangazaji na waandishi wa habari kujiongeza na kuongeza ubunifu ili kupata mikataba yenye maslahi manono. Hivi sasa soko limebadilika na lina ushindani mkubwa hivyo kuhitaji njia mbadala ili kuweza kulifikia na kuliteka. Kuna watangazaji na waandishi wengi ambao wamezoea kufanya kazi kwa mazoea hii itawafanya waongeze bidii.Hii inamaanisha "fursa" vijana wasomee uandishi, utangazaji na Udj. Soko liko wazi
IPP MEDIA ni kama Arsenal na wenger wao ni m'bahili kusajiri.Its too much nasema inatosha IPP MEDIA MKOJE??? Mliniondolea dj Mafuvu leo Dj Sinyiorita .... Badiliken bana mnatukwaza mashabiki wenu aghhhhhhhh
Weka picha pliz tufaidi wote.
Nafikiri wanacho fanya wao ni kukuza vipaji tuu...IPP MEDIA ni kama Arsenal na wenger wao ni m'bahili kusajiri.
Watangazaji wengi wanafanya kazi kwa mazoea lakini wanategemea kulipwa zaidi!Ni kweli hii ni fursa ya watangazaji na waandishi wa habari kujiongeza na kuongeza ubunifu ili kupata mikataba yenye maslahi manono. Hivi sasa soko limebadilika na lina ushindani mkubwa hivyo kuhitaji njia mbadala ili kuweza kulifikia na kuliteka. Kuna watangazaji na waandishi wengi ambao wamezoea kufanya kazi kwa mazoea hii itawafanya waongeze bidii.
Kama wakiendelea kubaki na hiyo dhana muda sio mrefu watajikuta wako nje ya soko la ajira ya watangazaji na waandishi wa habari. Hebu wajifunze kwa wenzetu wa nchi jirani walivyo. Yaani huwa nafurahi sana jinsi hawa watangazaji wa Knya wanavyojipanga na wanavyojitahidi kuwa wabunifu.Watangazaji wengi wanafanya kazi kwa mazoea lakini wanategemea kulipwa zaidi!
Watangazaji wetu wengi mind set yao ni kulipwa sana wakati ubunifu zero...mtu anataka alipwe sana wakati hana ubunifu wa kuleta matangazo kwenye kipindi!Kama wakiendelea kubaki na hiyo dhana muda sio mrefu watajikuta wako nje ya soko la ajira ya watangazaji na waandishi wa habari. Hebu wajifunze kwa wenzetu wa nchi jirani walivyo. Yaani huwa nafurahi sana jinsi hawa watangazaji wa Knya wanavyojipanga na wanavyojitahidi kuwa wabunifu.
Kwa mfano angalia taarifa za habari za wenzetu huwa zinachukua zaidi ya masaa mawili na yote hayo ni kuhakikisha hawaachi ombwe kwa msikilizaji. Kukiwa na mada inavyodadavuliwa kitaalamu utapenda kusikiliza na kuwaangalia wanavyotumia utaalamu wao. Pia jinsi watangazaji wanavyojiandaa kufanya mahojiano, maswali huwa yanalenga kwenye uchonozi wa taarifa hapo utaona tofauti kubwa sana na watangazaji wetu.
Lingine kubwa ni mandhari ya studio zao zinapendeza saana. Zina na kila ya mbwembwe ambayo haichushi macho ya mtazamaji. Nafikiri ndio maana watangazaji kama Tido Mhando na Charles Hilary wameliona hilo, ila kuna sehemu naona kama hawako huru sana kama kawaida yao. Hawafunguki kama kawaida yao. Ule uwezo wao wa kuhoji hauonekani kutumika ipasavyo kama walivyokuwa kwenye vyombo vya habari vya nje ya nchi. Wamepwayaaa, kulikoni?
Kwa hiyo matangazaji mwenye 'network' ya matangazo ndo anakuwa dili. Wape pole saana, watazamaji na wasikilizaji wa sasa wako tofauti. Wanataka radha na ubunifu.Watangazaji wetu wengi mind set yao ni kulipwa sana wakati ubunifu zero...mtu anataka alipwe sana wakati hana ubunifu wa kuleta matangazo kwenye kipindi!
Biashara ya Radio na TV ni matangazo na lazima mtangaziji ahakikishe ana vuta watazamaji au wasikilizaji wengi na hapo ndio sponsor wanapatikana...na hakuna atakaye weza kukulipa zaidi ikiwa hauzalishi chochote.....Kwa hiyo matangazaji mwenye 'network' ya matangazo ndo anakuwa dili. Wape pole saana, watazamaji na wasikilizaji wa sasa wako tofauti. Wanataka radha na ubunifu.
Ukumbuke unaweza ukawa na matangazo mengi lakini hayana watazamaji au wasikilizaji, sijui huyo mwenye matangazo yake ataweza kupata kile alichokuwa anahitaji!
Mpwa mchana yupo na yule mdada alietoka radio mawingu.Yule Bi Hindu yuko Efm kumbe siku hizi
Kuna dj ommycrayz yaan huwa simuelewi kabisaMie kuondoka kwa mafuvu kunaninyima uondo sana
Uko sawa na mm m mwenyewe huwa simuelewi anachokifanya.kifupi ea radio dj tegemeo kwa sasa n dj summer.Wakifanya makosa kumpoteza na huyo radio yao itapwaya mnoKuna dj ommycrayz yaan huwa simuelewi kabisa
Uko sawa na mm m mwenyewe huwa simuelewi anachokifanya.kifupi ea radio dj tegemeo kwa sasa n dj summer.Wakifanya makosa kumpoteza na huyo radio yao itapwaya mno
Watangazaji sasa wanabadilisha vituo kama team za soccer.
Gadner katoka Efm kaenda Clouds.
PJ na Hando wametoka Clouds wameenda Efm.
Jabir saleh na Bi Hindu wametoka Times fm wameenda Efm.
Dj Senyorita na Mami wametoka East Africa radio wameenda Clouds.
Kuna tetesi Clouds sasa wanamtaka Kitenge kwa pesa yoyote anayotaka, Kitenge akichukuliwa na Clouds Shafii amesema ataondoka na Efm wanataka kumchukua kwa pesa ndefu.
Ni mwendo wa kutangaziana dau.
Hapa haieleweki ni jeuri ya pesa?
Stunt za kuongeza kusikilizwa?
Tasnia chovu ya utangazaji inakua?
Nani anaefaidika na hii game?
Au umjini mjini?
Efm wanakwambia huu mchezo hauitaji hasira!
Tusubirie kuona mwisho wa huu mchezo au labda ndio mwanzo wa sinema.
Mjini kuzuri sana!