Halotel na 100mb za usiku

Ushaambiwa hiyo ni offer maalumu kwa watu maalum wewe unafosi yani
Sasa hapo nimefosi nini? Nimeuliza anajiunga kwa namba ipi kanitajia nimejaribu nimeambiwa sina ofa maalum kwa ajili yangu nimetulia
Ww ulitaka nifanyaje?
 
Halotel nao ni wapuuzi tu walikuja kwa speed hawana ishu yoyote ya maana. Nakula zangu voda mb 1024 kwa buku siku 5. Sipendagi ujinga
Menu gani hiyo??
Mie natumia Airtel Tshs 1,000 napata GB 2 kwa siku 3
 
Kumbe bora mm nilienda mjini nikapata shavu la kuungwa uni offer saiv npo zangu koromije burudan tu
 
Nimenunua line yao hawa jamaa wa ajabu kweli. Eti network iko katikati ya mji tu. Ukitoka kilomita mbili tu "emergency call!" Mb na muda wa maongezi umeenda bure!
Ndio changamoto yao, naona hawajawa tayari kutoa huduma.
 
Hawa halotel ni wezi tu... Ukijiunga kwa 500, inapata 120mb ila zonalika kma mshumaa wapasaka, kingine unawza kuweka vocha yko ila pale unapopiga namba za kujiunga(*148*66#), wanakwambia "INVALID MM I CODE" na baada ya muda mambo yakiwa shwari unakuta wamekukata 50sh na hujatumia chochote, hii hali inanotokea sana...
Hakikisha umezima data kabla ya kuweka salio mkuu.
 
Halotel.......nijuzeni bei ya Sim card ya chuo.....al maarufu line ya chuo.
Ofisini yenu ya Tabata Liwiti inauza line ya chuo kwa shs 10000 wakati vijana wenu wanaotembea mitaani wanauza shs 5000.
Hebu tupeni ufafanuzi
Inapaswa iwe 1000 ni ujanja ujanja tu baada ya kuonekana ni hotcake.
 
M
Ukijiunga kwa tsh 500 wanakupa 500mb na 100mb zakutumia usiku. Hapo ndio sielewi usiku wa saa ngapi na wala huwezi angalia salio. Nimejiunga saa 5 usiku, naangalia salio wanaanza kukata kwenye 500mb. Hizo 100mb zinatumika muda gani au ndio wanatuibia?
atapeli hao Halotel,network yenyewe shida tupu hadi uwe katikati ya mji ndo inapatikana. Mimi Napata hasara sana ya airtime na bando zangu sizitumii ninapokuwa nje kidogo tu ya mji takriban 5km
 
Mkuu hii ofa sidhani kama kila mtu anayo. Mi naburudika nayo kama mwezi wa 6 sasa. Inaitwa "Ya Kwako Tu"
Huwa inakuwa namba 3 kwenye menu ya *149*01#

Au simply najiunga kwa kupiga *149*03# na salio lake naangalia kwa kupiga *149*60#

Vodacom Power to you.
like me ila sio kila mtu
 
Halotel wadwanzi sn mi hua nanunuaga night pack 10GG kwa 1500 lkn mb znakua hazina speed ikifika SAA 11 nanusu ndo wanakupatia speed wakati mwisho wa kutumia hilo bundle ni saa12
 
Back
Top Bottom