Halotel kuna shida ya mtandao au???

Anaetaka line ya chuo ya halotel..
Unapata 10 gb dakika 1200 za halotel na 80 za mitandao yote mwezi mzima we youtobe unaogelea bila presha....nitafute private....popote ulipo utafanikiwa kuipata nusu saa tu...
Halafu zina expire
 
Hizo gb10 na midakika unazipata bure au
 
Wewe ndio mweupe,unatumia mchina halafu unategemea speed nzuri ya internet?
Unajua ukiwa unatumia kitu flani unahisi wote wanatumia na tatizo huanzia hapo. Endelea na simu zako hizo za kichina inabidi ujifariji maana hakuna namna
 
Wanafukuza Wateja taratibu
Jana niljua mb zimeisha ila nkashangaa zimeisha fasta nkalala zangu asubuhi kuna naona notification kucheck mb zipo nyingi tu nkaona tu thread yenye lalamiko haka katabia wamekaanza taratibu kanaelekea kukomaa
 
Back
Top Bottom