mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
weweee mafuriko katika ubora wake
kunaweza na ukweli kwenye hili .Nape hakushinda aliiba mura
Figisu figisu ziliendelea sana kule mkuuunajua mkuu , mpaka nimesoma uzi huu ndio nimejua Nape ni mbunge wa Mtama , siku zote najua ni mbunge wa kuteuliwa kama Ndalichako , hivi alishindaje ubunge huyu jamaa ?
asante sana kwa maelezo mazuri sana , bali katika andiko lako nime note kitu kimoja kizito na kizuri sana kwamba hata kama nape alishinda kihalali basi ni kwa sababu ya uwezo mdogo walionao wanavijiji uliotokana na umasikini na elimu duni kama lilivyo tegemeo la ccm mara zote , na wala si kwa vile wanamwamini nape , shortly ni kwamba wamechagua mgombea wa ccm hata kama hana lolote ama hata kama chama hicho kimewatesa kwa miaka yote kwa vile ndio chama wanachokifahamu , hili tumelichukua na kazi inaanza kuanzia muda huu .Kama unataka jibu la kiuhalisia na sio kisiasa then let's go on!
Majority humu hawaifahamu hata hiyo Mtama lakini wapo baadhi wanaoifahamu Mtama lakini sio Jimbo la Mtama-- difference noticed? Mtama Vs Jimbo la Mtama!
Mtama is just a small portion of Jimbo la Mtama ambalo sehemu yake kubwa ipo ndani ndani ingawaje pia vipo vijiji vilivyo main road lakini si sehemu ya Kijiji cha Mtama bali ni sehemu tu ya Jimbo la Mtama.
Tukija kwa Matthew-- huyu anakubalika sana Mtama (c.f Jimbo la Mtama). Wakati akikubalika zaidi Mtama, kuna vijiji kibao vipo ndani ndani ambavyo ukiona ni wafuasi wa Upinzani basi ni CUF na sio CHADEMA though majority bado ni CCM!
Sie tusiozungumza siasa huku pia tukiifahamu Jiografia ya kule; tangu wakati wa Uchaguzi nilisema UKAWA don't invest too much energy Jimbo la Mtama coz' ni ngumu sana kulipata lakini wajikite Jimbo la Mchinga na wangelibeba coz' since then kuna baadhi ya vijiji vya Mchinga walikuwa wanaipigia CCM only kutokana na influence ya Membe kwenye hivyo vijiji. Mfano mzuri kuna kijiji kinaitwa Rutamba na kina wapiga kura wengi sana wanaoweza kubadilisha muelekeo wa mshindi wa Ubunge! Hawa wa Rutamba walikuwa wanaipigia CCM just for the sake of Membe!
2015 Membe alipoacha kugombea moja kwa moja nikaona dalili za CCM kupoteza Mchinga! End result ikawa kama nilivyotarajia from the beginning-- Jimbo la Mtama wakabaki na CCM yao na Mchinga ikaenda CUF!
Kwahiyo kazi kwako-- unaweza ku-opt kuchukuwa maelezo ya kisiasa kwamba Nape aliiba kura au unaweza kuchukuwa maelezo ya mtu anayefahamu siasa za eneo husika!! In short, am certain Nape alishinda kihalali. Matthew angeweza kushinda only if wapiga kura wangekuwa ni wa Kijiji cha Mtama na sio Jimbo la Mtama!!
Maiguzo mengi sana kwenye Serekali ya chama cha MachafukoWatu hawana matumaini ya kuishi... Hali ngumu na hawaoni dalili za MIZIGO yao kutuliwa!!!
Mkuu kingine hawa jamaa hata mgombea wao wa URAIS nadhani aliishia tu hapo kijiji cha mtama halafu akategemea kushindana na watu waliokuwa wanapita kijiji kwa kijij kama MAG ,Kama unataka jibu la kiuhalisia na sio kisiasa then let's go on!