Halima Mdee amjibu Rais Magufuli kuhusu madawa ya kulevya

Hakika ww umesema.manake co rahic ccm wakubali kuungana na upinzani km hawajabanwa sehem na wawe na kauli moja juu makonda ! Hapo na mm niwewaza kwa sauti ya juu.polepole tu kilakitu kitakua hadharani muda c mrefu.
 
Halima Mdee anasema majanga hayataisha kama tusipoanza kusimamia maneno na kauli zetu.

Mimi kwenye sentesi hii ninakubaliana naye kwa sababu kama yeye angeweza kusimamia maneno na kauli zake basi hata Lowassa kwa sasa asingekuwa CHADEMA achilia mbali kumpa ugombea Urais wa maisha kwa tiketi ya CHADEMA.

Mdee aliwahi kutuambia kama CHADEMA itampokea fisadi Lowassa basi tuitose. Wananchi wengi walisimama kwenye maneno yake lakini yeye hakusimama.

View attachment 468971
Yaaani wakati ule hawa jamaa walinishika kisawasawa.
Ila baadha ya Dr kutoka nami nikapata maono...
Ni kikundi cha Wajanja tu.
Wasaka Tumbo.
 
Halima Mdee anasema majanga hayataisha kama tusipoanza kusimamia maneno na kauli zetu.

Mimi kwenye sentesi hii ninakubaliana naye kwa sababu kama yeye angeweza kusimamia maneno na kauli zake basi hata Lowassa kwa sasa asingekuwa CHADEMA achilia mbali kumpa ugombea Urais wa maisha kwa tiketi ya CHADEMA.

Mdee aliwahi kutuambia kama CHADEMA itampokea fisadi Lowassa basi tuitose. Wananchi wengi walisimama kwenye maneno yake lakini yeye hakusimama.

View attachment 468971
Asante sana kwa kuwakumbusha manake walisha sahau
 
Back
Top Bottom