Hali ya mapato ya serikali yashuka, serikali haina pesa wananchi tujifunge mikanda

Ushahidi tosha wa hili ni Bajeti hewa. Bajeti ya fiscal year 2016/2017 ni 29 trillions lakini pesa iliyotolewa hadi sasa zikiwa zimebaki wiki tatu tu mwaka huu wa fedha ukatike ni 34%. Kwa hiyo bajeti ya 29 trillions ni uongo MTUPU!

Habari wadau!

Nimepata fursa ya kuongea na kiongozi mmoja toka BOT nilikokuwa nafatilia mambo yangu ya kifedha.

Ni ukweli unafichwa kwa gharama kubwa sana kuwa hari ya kiuchumi wa nchi nimbaya sana.

Mapato ya kodi yameshuka kwa kasi sana na serikali inashindwa kujiendesha vizuri na kuna baadhi ya malipo yamesitishwa hasa kwa wazabuni.

Na njia walio itumia ya kuhamishia makato BOT badala ya hazina ni kuwa kuna baadhi ya taasisi hazitapata fedha kwa wakati hasa makusanyo mbalimbali kama makato ya mishahara na michango mbalimbali kama ile ya mifuko ya hifadhi za jamii, na makato ya hiyari ya taasisi mbalimbali kama vile mikopo nk.

Lengo ni kuzitumia wakati wakikusanya mapato.

Sababu kubwa ya kudorora kwa uchumi inadaiwa ni sera zilizoanzishwa na kupelekea biashara nyingi kufungwa na kuhamisha fedha yoka benki za biashara na kupeleka BOT.

Sasa huko BOT ni vimemo vya maagizo fedha ziende wapi lakni hawafati bajeti pangwa na kujikuta kuwekeza sehemu zisizo na return ya mda mfupi na kuzima mzunguko wa fedha.

Hivyo jamaa kashauri kila pesa unayoipata itunze maana ya kesho haijulikani itakuwaje
 
Kwa hapa watu walitegemea maendeleo si utani huu
15a7d113a90ea7832b68e9f54e4ec33a.jpg
 
Vita na wafanyabiashara wakubwa haijawahi kuiacha nchi salama..hatuwezi kufanikiwa kwa kuwachukia matajiri...Daima kama nchi tujifunze kwa waliofanikiwa..lakini la muhimu zaidi lazima tujue ..Haki huinua Taifa..
Jk amamcheka mwenzie amemwambia kuongoza nchi sio mchezo kaza buti. kwa wenye Akili tumeelewa anamwambia kwamba maguvu bila Akili atapotea.

mambo anayojifanya kuyakomalia ili apate kiki kisiasa siyo kwamba waliotangulia hawakuyaona. walideal nayo kwa tahadhali kubwa.
 
Habari wadau!

Nimepata fursa ya kuongea na kiongozi mmoja toka BOT nilikokuwa nafatilia mambo yangu ya kifedha.

Ni ukweli unafichwa kwa gharama kubwa sana kuwa hari ya kiuchumi wa nchi nimbaya sana.

Mapato ya kodi yameshuka kwa kasi sana na serikali inashindwa kujiendesha vizuri na kuna baadhi ya malipo yamesitishwa hasa kwa wazabuni.

Na njia walio itumia ya kuhamishia makato BOT badala ya hazina ni kuwa kuna baadhi ya taasisi hazitapata fedha kwa wakati hasa makusanyo mbalimbali kama makato ya mishahara na michango mbalimbali kama ile ya mifuko ya hifadhi za jamii, na makato ya hiyari ya taasisi mbalimbali kama vile mikopo nk.

Lengo ni kuzitumia wakati wakikusanya mapato.

Sababu kubwa ya kudorora kwa uchumi inadaiwa ni sera zilizoanzishwa na kupelekea biashara nyingi kufungwa na kuhamisha fedha yoka benki za biashara na kupeleka BOT.

Sasa huko BOT ni vimemo vya maagizo fedha ziende wapi lakni hawafati bajeti pangwa na kujikuta kuwekeza sehemu zisizo na return ya mda mfupi na kuzima mzunguko wa fedha.

Hivyo jamaa kashauri kila pesa unayoipata itunze maana ya kesho haijulikani itakuwaje
...tupia kapicha Mkuu..
 
Ndio vizuri sana..

Mi nataka huu utawala ufeli kabisa..

Na Mungu lazima awachape fimbo hawa awamu ya 5..

Mlianza na kuminya demokrasia, kukandamiza upinzani, kukandamiza vyombo vya habari, utekaji nk nk.

Mungu hawezi kuacha waja wake wakiteseka kwa haya yote..

Ndio anawapiga fimbo kwa upande mwingine..

Kila kitu kipo ovyo kabisa kwenye suala la uchumi wa Nchi.. Everything is Stagnant..!!

Malipo ni hapa hapa Duniani.
Kama Mungu hatowaacha waja wateseke sasa ndio wanakula raha siyo?
 
Teh teh wala rambi rambi
Malipo ni hapa hapa duniani. Mlifuta ajira mkafikiri mtatukomoa. Malipo ni hapa hapa duniani
Naomba iwe km zimbabwe. Ifeli kiuchumi mpaka tuwe omba omba.
Mpe pole mataputapu
Tatizo hii kitu itatuumiza sisi walipa kodi.
 
Ndio maana trafiki wameongezeka barabarani na zile machine zao. Wanajaribu kujazia mapato ili mwisho wa mwezi watangaze matrilioni
sasa hivi wanahangaika na kodi ya majengo mpaka vichochoroni.

sasa sijui kama sheria imeshatambua au kurasimisha makazi holela.

Au ndo hela ya kodi ya makazi haramu wanaitaka bila wao kuwajibika
 
Hebu kila mtu hapa ataje akiba aliyonayo popote pale iwe Bank au nyumbani.

akiba yote ya pesa uliyonayo, nataka kujua kama huu uchumi unaokua kwenye makaratasi ya Bank ya dunia na IMF ni sawa sawa na ya watanzania mmoja mmoja au?
..Mimi sina Akiba kwakweli..
 
Back
Top Bottom