Hali ya Kisiasa Zanzibar: Maalim Seif aongea na Vyombo vya Habari - Jan 11, 2016

Hakuna utatuzi wa mgogoro huo isipokuwa kurudia uchaguzi....kama seif alishinda basi wapiga kura watarudia kumchagua.

Mpaka sasa hakuna aliyeweza kujibu hoja za kufutwa kwa uchaguzi ikiwemo ile ya kujitangaza mshindi kabla ya Tume kufanya hivyo.
 
Maccm yanatuona wapiga kura kama wehu, sisi tumeamua kumchagua Seif kwa hivyo uongozi ni haki yake kama ham kutoka upinzani palikuwa na haja gani ya kura?
 
Hana lolote anatangaza kususia sherehe za mapinduzi tu.kama ana jeuri arudishe prado na ving'ora na akatae mshahara
 
Kwa anayejua siasa za Tanzania bila Shaka atakuwa anamjua maalim seif vizuri ila kwa bongo fleva wa Leo ni wingu zito. Anachokosa maalim seif ni ushujaa wa kusimama na kuwaambia wanachama wake wa CUF kuwa uchaguzi unarudiwa na yeye ameridhia urudiwe hizi nyingine ni mbwembwe tu.
 
Kumekucha Tena.
Taarifa kwa vyombo vya Habari.
Aliyekuwa mgombea uraisi kupitia chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamad kesho kuanzia saa 5.00 ataongea na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali.
Madaa kuhusu Hali ya kisiasa Zanzibar
Tunataka kujua kwanini anahudhuria vikao vya upatanishi akiwa mwenyewe wakati Ccm wako zaidi ya sita!!! Au anatuuza kama miaka ya nyuma??
Kwanini hawaja balance wajumbe??
Au Maalim ana taka kutuaminisha ana ajenda kama za miaka ya nyuma??
 
msimamo wa CUF upo wazi hawapo tayari uchaguzi kurudiwa hata wangeenda viongozi wote wa CUF kwenye majadiliano msimamo bado wao bado uko pale pale
 
Hakuna utatuzi wa mgogoro huo isipokuwa kurudia uchaguzi....kama seif alishinda basi wapiga kura watarudia kumchagua.

Mpaka sasa hakuna aliyeweza kujibu hoja za kufutwa kwa uchaguzi ikiwemo ile ya kujitangaza mshindi kabla ya Tume kufanya hivyo.
Wewe huwa unaongelea ujinga ambao unajificha nyuma ya ushabiki wa kisiasa.

Uchaguzi bara ulitangazwa bila ushahidi wa ushindi na ukandamizaji wa kisheria ya kutopinga matokeo.

Mtiririko wa matokeo ya Zanzibar kama yalivyotangazwa zaidi ya nusu Maalim Seif alishinda na ambayo yaliyobaki alishinda kwa mbali sana.

ENDELEENI KUJIDHALILISHA NA KUKANDAMIZA DEMOKRASIA
 
Kwa anayejua siasa za Tanzania bila Shaka atakuwa anamjua maalim seif vizuri ila kwa bongo fleva wa Leo ni wingu zito. Anachokosa maalim seif ni ushujaa wa kusimama na kuwaambia wanachama wake wa CUF kuwa uchaguzi unarudiwa na yeye ameridhia urudiwe hizi nyingine ni mbwembwe tu.

Watz tunaisubiri siku ya kesho,, kwa tamko hapo juu mkuu unatufanya watz wamependa haki tushindwe kuielewa,, binafsi mimi nimeshindwa kuamini lakini kwa kua tz na siasa zake ndivo zilivo yawezekana kuna ukweli ndani yake
 
Back
Top Bottom