jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,387
- 39,144
Lazima wamkumbuke angalau alijitahidi kujionyesha yuko upande wa wananchi.daah sema watu watamkumbuka sana magu imagine 5yrs tu as if kaongoza miaka 60
Hili la korosho angekua amelitolea ufafanuzi..ila sasa kimya walamba asali hakuna hata mmoja aliyejitokeza kusema chochote.
#MaendeleoHayanaChama