Hali si Shwari: Yakupasa kuuza Kg 2 za Korosho upate Kg 1 ya Unga wa Ugali

Peramiho yetu

JF-Expert Member
May 25, 2018
5,303
14,979
Amkeni hali si shwari tena, wale ndugu zetu waliokuwa wanawanunulia mbuzi soda na bagia huko kwa akina njomba nchumali kutokana na mavuno ya korosho

Sasa itawabidi wauze kg 2 za korosho kununua unga wa ugali kg 1

Kwa mantiki hyo Bei ya korosho ghafi imeshuka Bei kwa zaidi ya asilimia 57 % ya Bei ya mwaka Jana
 
Ila wabongo wakikamataga vijichenji yani wanakuwa malimbukeni sana. Mimi nilizikamataga kipindi flani yani kila nikikutana na yeyote namzaba mfululizo wa makofi unprovoked na kila kofi namlipa laki.

Sasa hivi nazikumbuka tu.
😂😂😂😂Akili zako zipo likizo
 
Wanaolia ni wale walionunua kangomba.....kanjibhai kaja na karatasi zake za bei ya chini sasa hivi wanalia. Mkulima huwa hana hasara bali hupata faida ndogo tu ila mfanyabiashara wa kati ndio huwa katika hali tete.

Ila muhindi ni bepari kwelikweli yaani huku anawalalia haswa ila akipeleka huko kwenye masoko makubwa ya dunia bei yake ni ya hatari sana.
 
Njia ni moja tu waanze kubangua na kuuza zilizobanguliwa tofauti na hapo wahesabu maumivu.

Halafu wabaya wao sio kanjibai ni hao wanasiasa ndio madalali wakubwa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kweli dunia duara hadi kongoro imeishinda korosho bei kwa kilo? Tembea uone hadi kvant ndogo inabei kuliko kilo ya korosho?
 
  • Thanks
Reactions: K11
Ila wabongo wakikamataga vijichenji yani wanakuwa malimbukeni sana. Mimi nilizikamataga kipindi flani yani kila nikikutana na yeyote namzaba mfululizo wa makofi unprovoked na kila kofi namlipa laki.

Sasa hivi nazikumbuka tu.
Kuna mmoja aliyapa talaka makopa(Yale yanatengeneza unga wa muhogo)
Mwingine alichukua njiwa akafunga elf50 left and right leg then akamrushaaa juuu akamuambia akale na Mungu wake!!!

Vanemba vanivamba Sasa bbbaaahh...hataaari(Kwa sauti ya kimaraba)
 
Korosho ni dhahabu ya kusini kwa sasa imegeuka Adhabu ya kusini
Nilishawahi kushauri hapa kuwa soko la korosho liendane na nyakati;
Na maanisha kipindi hiki ambapo bei sio nzuri, wangetoa tu bei elekezi soko huria linunue. Kuna uhaba wa korosho huku kwenye masoko ya Ndani; halafu mtu anakuambia korosho imekosa soko!
Sijui ni soko gani Tanzania korosho iliyobanguliwa inauzwa chini ya 15000 kwa kilo?
 
Wanaolia ni wale walionunua kangomba.....kanjibhai kaja na karatasi zake za bei ya chini sasa hivi wanalia. Mkulima huwa hana hasara bali hupata faida ndogo tu ila mfanyabiashara wa kati ndio huwa katika hali tete.

Ila muhindi ni bepari kwelikweli yaani huku anawalalia haswa ila akipeleka huko kwenye masoko makubwa ya dunia bei yake ni ya hatari sana.
Usiishi kwa kukalili,hakuna mkulima asiyejua kuwa mwaka Jana mnada umepigwa mara mbili,mwaka huu iyoo kitu hakipo,kanjibayi anatakiwe afike kule na siyo kumgadi dar,haipo iyoo.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom